Fursa gani zinadharauliwa lakini zinaweza kukutoa kimaisha?

Mkuu Nitaifanya Tu
 
Aanha Mi Nitaifanya Kiubishi Ubishi Nipate Mtaji Wa Biashara Kubwa Zaidi.
Haitafanana sana na kipindi kile kwa sababu mabo yanaenda yakibadilika siku
hizi watoto wana Games nyumbani, kwenye simu n.k utawapata lakini sio kama
kipindi chetu ambacho vitu vingi vilikuwa vigeni, bado ni fursa nzuri.
 
Mimi Nilipo Hakuna Vitu Hivyo Japokuwa Ni Kamji Flan Hivi,bdo Itakuwa Ni Jambo Geni
 
Yaani mkuu kila ninapofikiria kuhusu hiyo Project naiona kama ngumu sana
nimewahi kuwaza kujaribu lakini naiona kama inahitaji utaalamu mkubwa
lakini nitaifuatilia.
Very simple mkuu, haina haja ya elimu ya darasani
 
Kuuza mahindi ya kuchoma kuna faida sana, tena kama Dar kwenye watu wanakula muhindi na pilipili ndio faida mara zote
 
Mpaka kwenda central kisa business si haba lazma una experience ya kutosha jaribu kuhamasisha vijana hapa kwa uzoefu wako
Tatizo la biashara hiyo iliyonipeleka Polisi ilikuwa inahusisha sana watoto wa shule
Mbaya zaidi wengine walikuwa wanaiba pesa majumbani kwao, sasa kwa kukosa ushahidi
Mzazi atafanya moja kati ya mawili aidha kutoa maelezo kuwa unawashawishi watoto
kuiba au unawafanya watoto kutoroka shule.
 
hiyo naielewa vyema coz mitaa nliyoishi Sana nmeona michezo hii ikiwa cost either mchezeshaji or mtoto mchezaji
 
hiyo naielewa vyema coz mitaa nliyoishi Sana nmeona michezo hii ikiwa cost either mchezeshaji or mtoto mchezaji
Siku hizi haina pesa sana kipindi hicho tunaanza ilikuwa balaa,
Siku hizi ni mitaji ya watoto wa sekondari na chuo wanaosaka ada.
 
Siku hizi haina pesa sana kipindi hicho tunaanza ilikuwa balaa,
Siku hizi ni mitaji ya watoto wa sekondari na chuo wanaosaka ada.
hata hivo sku hizi kila mtoto ana game lake home
 
Kuna hii zao la kahawa mwenyewe uzoefu atujuze yaan masoko na changamoto zake
 
Biashara ya kusambaza gas majumbani, inatakiwa uwe Na pikipik, frem, business card, Na kuwa Na utayari kuwahudumia wateja, then kuwa makini vishawishi ni vyingi hasa wakati wa mchana waume zao wakiwa kazini.
Hii biashara nahisi itanifaa mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…