Fursa gani zinapatikana mkoa wa Kigoma

Ndugu zangu naombeni kunifahamisha fursa inayopatikana mkoa wa kigoma kwa wenyeji wa mkoa huo hasa wilaya ya kibondo ,nataka nihamie kigoma .Natanguliza shukran.
Mkuu unahamia kibondo kikaz au??

Karibu sana kibondo

Biashara zipo nying sana ni wew tu na ubunifu wako wa kupiga kazi kuovercome wenyeji wa pale

Kibondo kila jumatano na jmoss kuna soko la wakulima kabwigwa, mazao ya kilimo yanakuwa mengi sana pale

Mitumba japo wavaaji sio weng sana, na ipo bei juu weng wanaendaga kununua kasulu, so ukiweka pale mitumba safi biashara inaweza kwenda kbondo hakuna wauza mitumba wenye quality nzur

Kilimo, weng kibondo na vijiji vya pemben ni wakulima, mahind, maharage, mpunga, n. K

Maduka ya jumla na rejareja ni machache sana kibondo unaweza kuchukua nafasi kwa ufanisi zaid

Gharama za maisha ni rahis sana, unaweza pata viwanja huku stand mpya inayojengwa twabagondozi, japo hakujachangamka sana, ila watapazoea ukianzisha biashara

Kbondo ukiwa na mtaj unaweza kupiga biashara mpaka ukawapiku wazawa wa pale nimeshuhudia sana
 
Kilimo na mazao ya uvuvi unaenda mwambao wa ziwa unachukua dagaa na samaki unapeleka huko kibondo na vijiji vyake unauza.
 
Hujaelezea Purchasing power ilivyo chini, maisha yako chini kwa sababu mzunguko wa pesa ni mdogo sana pale. Purchasing power iko chini mno.

Wafanya kazi wa Mashirika ndo wana pesa pale Kibondo na wakiondoka pale hakuna kitu tena. Yaani kuwepo kwa ule mji ni kuomba sana Wakimbizi waendelee kuwepo.

Wenyeji wana tegemea kilimo kwa asilimia 100 tena kilimo cha kulima kwa mkono.

Kwa mkoa wa Kigoma mzunguko wa pesa uko atleast Kasulu tu.@Pain killer,
 
Dagaa wapi? Nazani unazungumzia dagaa wa Ziwa Victoria. Ila kama ni dagaa wa Ziwa Tanganyika nazani unapotosha. Wale dagaa hata kwa Kigoma mjini pale wanaliwa na wenye pesa. Dagaa ni ghari kuliko nyama hivyo kwa huko Kibondo hakuna mtu wa chini anaye weza kuwanunua
Kilimo na mazao ya uvuvi unaenda mwambao wa ziwa unachukua dagaa na samaki unapeleka huko kibondo na vijiji vyake unauza.
 
Kibondo Mzungumo wa pesa uko Chini sana Kibondo na Kakonko yote. Purchasing power ni ndogo sana.

Wenye peea ni wafanya kazi tu. Wenyeji ni wakulima tena wakulima wa kutegemea jembe la mkono.

Kule kama ni long term wekeza kwenye ufugaji wa mbuzi unauza hata Burundi.

Mbuzi wana demand sana Burundi na pia kwenye miji kama Kasulu
Ndugu zangu naombeni kunifahamisha fursa inayopatikana mkoa wa kigoma kwa wenyeji wa mkoa huo hasa wilaya ya kibondo ,nataka nihamie kigoma .Natanguliza shukran.
 
Tanzania hii ili uwe tajiri tunakupima kwa uwezo wa kula dagaa wa kigoma..
Dagaa wa kigoma ndio mvona au chakula chenye bei zaidi!
Kilo moja ya Dagaa inaanza Tsh 28000 mpaka 30000.
 
Tanzania hii ili uwe tajiri tunakupima kwa uwezo wa kula dagaa wa kigoma..
Dagaa wa kigoma ndio mvona au chakula chenye bei zaidi!
Kilo moja ya Dagaa inaanza Tsh 28000 mpaka 30000.
Dagaa hizo zinapatikana kwa wingi huko
 
Nataka nihamie kwa shughuri za kibiashara
Kibondo ukienda kwa ajili ya biashara itabidi ujipange Sawa sawa,, wenyeji hawapendi wazidiwe na wageni. Ujambazi utakuandama mpaka uombepo!
 
Kibondo ukienda kwa ajili ya biashara itabidi ujipange Sawa sawa,, wenyeji hawapendi wazidiwe na wageni. Ujambazi utakuandama mpaka uombepo!
Inaonekana hali ya kiusalama hailidhishi
 
Wabhonye Wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…