ronsoti kati
Member
- Nov 23, 2019
- 11
- 6
Ndugu zangu naombeni kunifahamisha fursa inayopatikana mkoa wa kigoma kwa wenyeji wa mkoa huo hasa wilaya ya kibondo ,nataka nihamie kigoma .Natanguliza shukran.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unahamia kibondo kikaz au??Ndugu zangu naombeni kunifahamisha fursa inayopatikana mkoa wa kigoma kwa wenyeji wa mkoa huo hasa wilaya ya kibondo ,nataka nihamie kigoma .Natanguliza shukran.
Kilimo na mazao ya uvuvi unaenda mwambao wa ziwa unachukua dagaa na samaki unapeleka huko kibondo na vijiji vyake unauza.
Ndugu zangu naombeni kunifahamisha fursa inayopatikana mkoa wa kigoma kwa wenyeji wa mkoa huo hasa wilaya ya kibondo ,nataka nihamie kigoma .Natanguliza shukran.
Dagaa hizo zinapatikana kwa wingi hukoTanzania hii ili uwe tajiri tunakupima kwa uwezo wa kula dagaa wa kigoma..
Dagaa wa kigoma ndio mvona au chakula chenye bei zaidi!
Kilo moja ya Dagaa inaanza Tsh 28000 mpaka 30000.
Nataka nihamie kwa shughuri za kibiasharaUnahamia huko kwa madhumuni gani?
Karibu upambane!Nataka nihamie kwa shughuri za kibiashara
Kibondo ukienda kwa ajili ya biashara itabidi ujipange Sawa sawa,, wenyeji hawapendi wazidiwe na wageni. Ujambazi utakuandama mpaka uombepo!Nataka nihamie kwa shughuri za kibiashara
Asante sanaKaribu upambane!
Inaonekana hali ya kiusalama hailidhishiKibondo ukienda kwa ajili ya biashara itabidi ujipange Sawa sawa,, wenyeji hawapendi wazidiwe na wageni. Ujambazi utakuandama mpaka uombepo!
Wabhonye WeweHujaelezea Purchasing power ilivyo chini, maisha yako chini kwa sababu mzunguko wa pesa ni mdogo sana pale. Purchasing power iko chini mno.
Wafanya kazi wa Mashirika ndo wana pesa pale Kibondo na wakiondoka pale hakuna kitu tena. Yaani kuwepo kwa ule mji ni kuomba sana Wakimbizi waendelee kuwepo.
Wenyeji wana tegemea kilimo kwa asilimia 100 tena kilimo cha kulima kwa mkono.
Kwa mkoa wa Kigoma mzunguko wa pesa uko atleast Kasulu tu.@Pain killer,
Usalama ni changamoto sana, risasi nje nje! Ila kuna maeneo mazuri sana kwa kilimo! Mazao kama yote!Inaonekana hali ya kiusalama hailidhishi