Fursa hii itumikaje? Free office space, free internet, free stationaries

MSWATI III

Member
Joined
Nov 16, 2010
Posts
90
Reaction score
63
Salamu waungwana,

Kuna mdogo wangu kapata kazi kwenye NGO moja, kwa nature ya kazi zake muda mwingi hua yuko free just sitting in the office wasting much of his especially on different social media. Nilikua najaribu kufikiria njia nzuri ya kumshauri na kumsadia on how he can fully utilize this free time, free office space, free internet and free stationaries for his commercial/financial gains.

Kuna vijana wengi mtaani ambao hata uwezo wa kupata internet ya bure hawana. Ningependa kumshauri jinsi ya kuweza tumia hio fursa ya free internet ili kujiingizia kipato ila bado sijapata wazo zuri. Ndo maana mwenzenu nimeona ni vema nije kwenye jukwaa la great thinkers kwa msaada zaidi. Hata kama hio idea itahitaji some short trainings its all fine.

I was wondering if there is anyone on this forum who is willing to share his/her idea on how this young man can fully utilize this rare opportunity.

Natanguliza shukrani sana na Mungu awabariki..
 
Anaweza kujiunga na distant learning na online courses mbalimbali ( sio zile za kitapeli) angalau akajiongezea ujuzi. Pia kuna materials kibao kwenye net yakumwongezea ujuzi na uelewa wa sasa na baadae.
 
Hiyo ofisi ni ya MSWATTI III au ni ya NGO?

Kama ofisi ni yako anaweza kutumia hiyo internet (!) ya bure kuongeza kipato.

Kama ofisi ni ya NGO, awe mtulivu vinginevyo atajikuta yupo mitaani akitafuta kibarua.
 
hapo just anunue domain then anzishe blog............he can blog according to his topic of interest.............the atajiongezea kipato through google adsense and other affiliate marketing............akiwa seriou atapiga mkwanja mrefu sana
 
Anangoja mpaka mabosi wamwambie fanya hiki ndiyo afanye?

Awe mbunifu kwenye hiyo kazi aliyoajiriwa, asingoje kutumwa, ajitume na atapata cha kufanya hapohapo anapolipwa.

Au ni NGO ya kitapeli? NGO jina tu? na yeye wamemuweka boya?
 
hapo just anunue domain then anzishe blog............he can blog according to his topic of interest.............the atajiongezea kipato through google adsense and other affiliate marketing............akiwa seriou atapiga mkwanja mrefu sana

Thanks Rechungura kwa huu ushauri. Nawezaje pata information zaidi juu ya fursa kiongozi?
 
ahh basi tayari asha tajirika.... anaweza tengeneza pesa minimum dola 300 kwa mwezi kwa kufanya kazi just 2-3 hours a day... just creativity through adsense. for more details you can just call me 0713774746
 
Wewe ushatajirika???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…