MSWATI III
Member
- Nov 16, 2010
- 90
- 63
Salamu waungwana,
Kuna mdogo wangu kapata kazi kwenye NGO moja, kwa nature ya kazi zake muda mwingi hua yuko free just sitting in the office wasting much of his especially on different social media. Nilikua najaribu kufikiria njia nzuri ya kumshauri na kumsadia on how he can fully utilize this free time, free office space, free internet and free stationaries for his commercial/financial gains.
Kuna vijana wengi mtaani ambao hata uwezo wa kupata internet ya bure hawana. Ningependa kumshauri jinsi ya kuweza tumia hio fursa ya free internet ili kujiingizia kipato ila bado sijapata wazo zuri. Ndo maana mwenzenu nimeona ni vema nije kwenye jukwaa la great thinkers kwa msaada zaidi. Hata kama hio idea itahitaji some short trainings its all fine.
I was wondering if there is anyone on this forum who is willing to share his/her idea on how this young man can fully utilize this rare opportunity.
Natanguliza shukrani sana na Mungu awabariki..