Fursa jijini Mombasa

Fursa jijini Mombasa

siku zote wapumbavu ndio hutapeliwa, hapa ni kubadilishana mawazo na sio taasisi ya mikopo,hakuna mwenye kuomba pesa hapa.punguzeni njaa jamani
Waambie mwana.mpaka unatapeliwa ujuwe we mwenyew umeridhika.
 
KUHUSU Majani ya TUMBAKU ,NIKO TAYARI KULETA, FALCON MOMBASA TUWASILIANE.
NATEGEMEA KUJA MOMBASA MWEZI HUU
 
Back
Top Bottom