Fursa jijini Mombasa

Fursa jijini Mombasa

Kwa yeyote mwenye swali kuhusu fursa za aina mbalimbali katika jiji la mombasa (msa) na kenya in general aniulize hapa.mimi ni mtz mwenzenu niko hapa kwa mwaka wa tano na napenda kumeet na wapiganaji wenzangu wa maisha.

Wewe chalii ungeanza kwanza kutwambia fursa ambazo zipo uko kenya,acha maneno mingi weka fursa hapa sio mambo za pm utaonekana mkola tu
 
MSILETE KARANGA HUKU, KARANGA ZA HUKU NI KUBWA KULIKO ZA TANZANIA,NINA HAKIKA HAMJAWAH KUZIONA,LETENI KOROSHO ,wenyewe wanaita chaoro
 
leta vitunguu saumu kutoka manyara utapiga pesa

mambo si hayo,la kuongezea ata ukipeleka Uganda pia inalipa sana,kuna mdada alikuwa anafanya hizo biashara alikuwa anasema alikuwa anatoa morogoro,alipiga sana pesa sema nilipoteza mawasiliano naye
 
samaki hapana usilete kama uko arusha leta majani ya tumbaku ya kutoka ARUSHA hata kontena tatu kama unaweza

VP kuhusu majani ya tumbaku kutoka kilindi tanga hayana soko halo msa? mi nataka niwe naleta Ugolo na iriki je inalipa?
 
VP kuhusu majani ya tumbaku kutoka kilindi tanga hayana soko halo msa? mi nataka niwe naleta Ugolo na iriki je inalipa?

hiriki ndo biashara yangu,kwa mgen itakugharimu muda na pesa, tumbaku leta ya kutoka arusha au tabora,hizo ndizo zijulikanazo. , , ,, , ,
 
mambo si hayo,la kuongezea ata ukipeleka Uganda pia inalipa sana,kuna mdada alikuwa anafanya hizo biashara alikuwa anasema alikuwa anatoa morogoro,alipiga sana pesa sema nilipoteza mawasiliano naye

usipeleka uganda pesa yao haina maana,labda rwanda
 
usipeleka uganda pesa yao haina maana,labda rwanda

ukilinganisha na dollar rate iko ivi sasa

1 USD =3040 UGsh

na inazidi kuporomoka,kwa sasa hivi bora ununue kule,uko sahihi si muda wa kupeleka kule,labda kununua vitu vya UG
 
hiriki ndo biashara yangu,kwa mgen itakugharimu muda na pesa, tumbaku leta ya kutoka arusha au tabora,hizo ndizo zijulikanazo. , , ,, , ,

Nashukuru Mkuu. Ila tumbaku ninayoongelea hapa ni ile ya kienyeji wanayisindika Ugolo. Ntakucheki bàadae unipe muongozo kwa kina.
 
Nashukuru Mkuu. Ila tumbaku ninayoongelea hapa ni ile ya kienyeji wanayisindika Ugolo. Ntakucheki bàadae unipe muongozo kwa kina.

wacha nikupm namba ya dealer mmoja wapo wa tumbaku,ako mtaa waitwa gurshan street mombasa near masjid mussa
 
wacha nikupm namba ya dealer mmoja wapo wa tumbaku,ako mtaa waitwa gurshan street mombasa near masjid mussa

Itakuwa jambo la mbolea sana kama utanirahisishia mambo kihivyo.
Barikiwa sana mkuu!
 
asante kwa fursa..ninaswali. hii tumbaku unayosema ya kusindika kienyeji ikoje?pili kwa nini ya arusha na tabora?
 
asante kwa fursa..ninaswali. hii tumbaku unayosema ya kusindika kienyeji ikoje?pili kwa nini ya arusha na tabora?

ni ile isiyopita kiwandani ,nafikiri wenyewe wanaijua iko na majani yake mapana kama cm 30 au 20, ya arusha na tabora sababu ndio walijizoesha hivyo,pia usifikiri mikoa ya tanzania inajulikana huku, imagine mtu ako mombasa na tanga hajawah kupasikia na hajui tanga ni nini where by ni kama km 250 frm tanga to mombasa
 
Back
Top Bottom