Fursa kadhaa za Biashara / Ujasiriamali Abraar (Waja Wema)

Abdul Ghafur

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2017
Posts
610
Reaction score
749
Abraar (waja wema)

Asalaam Alaikum.

Hapa Abraar Complex licha ya kuwa na kituo cha elimu "Abraar EducationCentre", pia tuna kituo cha biashara na ujasiriamali "Abraar Business Centre" chenye vitengo kadhaa ambavyo vyote vimelenga kufanya biashara na ujasiriamali utaowezesha (empowerment) wengine.

Katika vitengo vya biashara na ujasiriamali tulivyonavyo ingawa vipo katika utoto wake (infancy stages) vimeonesha mafanikio makubwa na sasa tunahitaji wanoweza kuleta (supply) biashara zao kwa jumla nasi tukaziuza hapa kwa rejareja.

Tayari sasa hivi tuna maduka matatu tumeanzisha na mengine yapo mbioni kuanzishwa, nayo ni:

1) Abraar Hardware Store
2) Abraar Stationery
3) Abraar bodaboda parts and repair shop.

1) Abraar Hardware Store


Tunapokea na kuuza bidhaa zote zinazohusiana na hardware shops. Au kwa kununua wenyewe kidogo kidogo au kwa wajasiriamali na wafanya biashara kutupatia bidhaa na sisi kuziuza hapa kwetu (supermarket style).

Kama u mjasiriamali / mfanya biashara hii ni fursa kwako kujipatia soko jipya.

Wasiliana na Abdul Ghafur 0656399856 kwa maelezo zaidi.

2) Abraar Stationery

Tunapokea na kuuza bidhaa zote zinazohusiana na stationery au kwa kununua wenyewe kidogo kidogo au kwa wajasiriamali na wafanya biashara kutupatia bidhaa kwa bei za jumla na sisi kuziuza hapa kwetu (supermarket style) kwa rejareja.

Kama u mjasiriamali / mfanya biashara hii ni fursa kwako kujipatia soko jipya.

3) Abraar Bodaboda Parts and Repair Shop

Tunapokea na kuuza bidhaa zote zinazohusiana na parts za body boda aina zote au kwa kununua wenyewe kidogo kidogo au kwa wajasiriamali na wafanya biashara kutupatia bidhaa kwa bei za jumla na sisi kuziuza hapa kwetu (supermarket style) kwa rejareja.

Kama u mjasiriamali / mfanya biashara hii ni fursa kwako kujipatia soko jipya.

Wasiliana na Abdul Ghafur 0656399856 kwa maelezo zaidi.

Tafadhali sambazia na wengine ujumbe huu.
 
Akhsante kwa tarifa.
Je hapo kwenu mzunguko wa biashara uko je? Nafasi ya kuweka timber IPO?

Ukianzisha biashara ya timba tuwasiliane.
 
Akhsante kwa tarifa.
Je hapo kwenu mzunguko wa biashara uko je? Nafasi ya kuweka timber IPO?

Ukianzisha biashara ya timba tuwasiliane.
Nafasi ya kuweka timber ipo, hivi sasa tunaweka cyprus kidogo kidogo, tunahitaji supplier.

Mzunguko ni mzuri kwa kuanzia, falsafa nzuri ya biashara ni kuwa mteha anaifata biashara ilipo na si biashara kumfata mteja.

Kuna fursa nzuri kuhusu timber:

1) Sisi wenyewe ni wajenzi na ujenzi wetu tunatumia timber kiasi kwa kujengea.
2) Tuna mpango wa kuanzisha darasa la "carpentry", obviously timber zitahitajika kwa kiasi chake.

3) Ni makazi mapya na watu wanajenga kwa kiasi chake, timber zinahitajika na zitaendelea kuhitajika.

Tunakushauri uje, ujionee mwenyewe mazingira na tuongee biashara (tusikuuzie mbuzi kwenye gunia).

Sisi tunaitwa Abraar Education Centre, hivi sasa tuna madarasa ya kuunda vifaa vya ujenzi na ujenzi (masonry). Tupo mtaa wa Vitendo, kata ya Misugusugu, Kibaha Mjini, Mkoa wa Pwani.

Kikubwa cha kuongea ni timber iwe yenye ubora (quality) na gharama ziwe affordable.

Namba zangu za kuwasiliana ni 0656399856 au 0625249605 naitwa Abdul Ghafur. ni msimamizi wa Abraar Education Centre.
 
Katika muendelezo wetu wa ubunifu, tumejuja na hizi pavers za kipekee Tanzania:


Bofya hapo juu ujionee.
 
Fursa tuliotangaza ya bidhaa za Stationery (namba mbili) hapo juu, stationery imefunguliwa rasmi kuanza kazi jana, bidhaa tulizonazo dukani ni chavhe sana na fursa ya kila aina ya wasambazaji wauzaji kwa jumla bidhaa za stationery bado ipo. Au kam u mjasiriamali tu unaetafuta kipato cha halali, pia unaweza kutu supply vigfaa vya stationery.

Tupigie 0656399856 au whatsapp 0625249605 tyfahamiane zaidi.

Ahsanteni.

Abdul Ghafur, Msimamizi wa Abraar Education Centre.
 
ASALI KUTOKA TABORA.

Nauza Asali Ya Jumla Na Rejareja
Ipo Ya Nyuki Wadogo Na Nyuki Wakubwa.

Tunafunga Kwa Vipimo Tofauti Tofautii

Bei Ya Rejareja
Lita1 - 10,000 (Nyuki Wa Kubwa)
Lita1 - 25,000 (Nyuko Wa Dogo)

Bei Ya Jumla
Tuwasiliane Maana Kuna Ofa Zaidi

[emoji3513]0658 357537
Call/ WhatsApp/Sms
Tabora

[emoji625] [emoji593] Tunafanya Delivery Nchi Nzima.
 
Nakutafuta kwenye simu.
 
HUDUMA : FASTA & PROFESIONAL
- KUSAJILI KAMPUNI 125,000/-
-KUSAJILI JINA LA BIASHARA 10,000/-

+HESABU ZA KAMPUNI & KODI - (AUDITED REPORT)
+TRA RETURN
+VAT RETURN
+SDL
+PAYE
=BRELA RETURN

PIGA/WATSUP SASA: 0788 104 228
 

Attachments

  • 20221102_102733.png
    300.1 KB · Views: 5
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…