Fursa kama hii ndio nilikuwa naitafuta kwa muda mrefu

Yaliyotokea DECI Mia's kadhaa nyuma inarudi kwa mfumo mwingine. Hiyo faida ya 3% kwa kila kwa Sikh 50 ni sawa nafaida ya faida ya 150% kwa hizo siku 50 AU 1050% kwamwaka . kwalugha rahisi ni kwamba ukiweka 1milion baada ya miezi 12 utakuwa 12 million ukijumlisha pesa yako na faida hapo sioni uhalisia . ila kwa sababu watu wanapenda mteremko utapata waumini. Ila jamani uogopeni MUNGU. DECI enzi sake watuwaliwekeza 7 milionna had I Leo hawjapat kitu imebaki ni kilio, wakati DECI faida ilikuwa shilingi ilizaa shilingi 3 kwa mwaka Leo mnakuja nabiashara shilingi 1 izae shilingi 11. Watanzania tunalizwa tens, Michezo hiyo ya utapeli huwa inatokea kila baada ya 15 watu wamesahau masaibu ya nyuma. Nashukuru MUNGU sijawahi shiriki . Lakini ndugu yangu mmoja aliliwa 7 Milioni hajapatahata senti DECI . kama siyo wakala cha kuwashwishi watuwalizwe.Kama ni wakala jiandae mkono Wa sharia baada ya mwaka utakuhika . NIMAONI YANGUSITARAJII MAJIBU YA JAZBA . TUNAELIMISHANA
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kwanini mkuu
Kuna upumbavu mwingi sana, em jiulize wanafanya biashara gani ambayo kwanza haipo wazi yenye faida kubwa kiasi hicho, halafu wanakwambia coin yao inatumika katika transaction kwenye baadhi ya nchi za ulaya, je unadhani kuna ukweli hapa yani waache kutumika currency yao watumie huu uchafu.
This is a scam business like hizo zilizopita, Watanzania wameamka sio wale wa Deci.
Nilikuwa removed kwenye group lao baada ya kuwa na maswali mengi.
 
Je inahitajika mtu akijiunga aanze kutafuta member wa kukaa chin yake??
 

brother utomaso ni kitu cha muhimu hasa linapohusika suala la fedha ,wengi wanaamini kama ww kuwa hii ni scam business..BUT naendelea kusema kuwa uoga wako ndio umaskini wako...Bitcoin inatambulika all over the world kwamba ni digital currency ya kwanza kabisa kuanzishwa na inaendelea kusumbua sokoni kwa muda mrefu sasa.Kuna watu wanaishi na kusomesha kupitia hii kitu ni vema ukafanya research before ya ku oppose ..
 
kutafuta
Je inahitajika mtu akijiunga aanze kutafuta member wa kukaa chin yake??
member ni wewe tu mwenyewe kama unataka kujiongezea kipato ,lakini hilo sio muhimu sana kwao cha muhimu ni ile investment unayowekeza wewe.
 
Hakuna kitu hapo ni dhulma, utapeli, na mchezo wakamari tu huo, ingia peke yako na wewe ulizwe usivute wenzako
 
brother
ungefanya research kuifuatilia kwa kina hii kampuni ndio ungekuja na hiyo coment yako..kampuni imefikia hatua hadi ya kuanzia charity program kwa baadhi ya nchi bado unaiita Deci..Any way hafungwi mtu kujiunga,nimewatangazia fursa uamuzi upo mikononi mwenu.
 
sio kuanzia..ni kuanzisha sorry
 
Hakuna kitu hapo ni dhulma, utapeli, na mchezo wakamari tu huo, ingia peke yako na wewe ulizwe usivute wenzako
sawa ndugu mimi nimeshaingia na nimeanza kuyaona matunda
 
Mkuu kweli zipo digital currency lakini watu kama wa huyu mleta mada ni utapeli kama wa DECI. Unawekeza pesa ndogo kwa muda mfupi kisha inatengeneza faida kubwa mno isiyowiana na kanuni za kibiashara. Hata akina Warren Buffet ni biashara zao za compound interest hazileti faida kubwa namna hii ndani ya muda mfupi. Na sasa wapo wengi hao hivyo vikampuni vinavyokuja na mbinu hii.
 
Ulivyotaja Nigeria na Kenya tu
Nimeanguka ndo naamka
Hizo nchi ni noma, utasikia serikali inauza magari yake kwa bei ya kutupwa, mara fuga kwale tunanunua, mara sungura dah haya mambo hayahitaji kuingia kichwakichwa
 
Sasa hapo mkuu mi nina kijiswali.
Unasema unapata faida ya uwekezaji, vipi ikitokea hizo bitcoin zikashuka bei, mimi ntaendelea kupata faida au ndo nami nakula hasara?
 
swali:" Je faida inayopatikana nitaipata au itakuwa stori......iwe scam au vinginevyo mi najali hela yangu irudi na faida ikiwezekana...mengine ni uoga wa kibongo kama kawaida...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…