Planett
JF-Expert Member
- Mar 20, 2014
- 10,497
- 16,180
.
Please ,mawasiliano yawe either call, sms au whatsapp kwa sababu ya urahisi wa ku respond.
Apart from hizo means kwani kuna namna nyingine ya kuwasiliana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.
Please ,mawasiliano yawe either call, sms au whatsapp kwa sababu ya urahisi wa ku respond.
Kuna upumbavu mwingi sana, em jiulize wanafanya biashara gani ambayo kwanza haipo wazi yenye faida kubwa kiasi hicho, halafu wanakwambia coin yao inatumika katika transaction kwenye baadhi ya nchi za ulaya, je unadhani kuna ukweli hapa yani waache kutumika currency yao watumie huu uchafu.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kwanini mkuu
Je inahitajika mtu akijiunga aanze kutafuta member wa kukaa chin yake??Ndugu zangu wa JF kwa muda mrefu nilikuwa nikitafuta fursa sahihi ya kunitoa kimaisha lakini bila mafanikio.Nimejaribu biashara kadhaa lakini changamoto ni nyingi kutokana na ukweli kwamba sina muda wa kuzisimamia na pia wakati mwingine changamoto toka kwa ma competitors wa biashara nnayofanya.Hivi karibuni nimefanikiwa kutambulishwa fursa ambayo inanipa financial freedom.Ninaposema financial freedom ninamaanisha ni financial freedom kweli kweli.Fursa hii hainihitaji niajiri mtu kuisimamia wala hainihitaji nitoe muda wangu mwingi katika kuifanya.Ni fursa ninayoweza kusema ni simple ,smart and clear.Fursa hii ni ngeni hapa nchini kwetu imesambaa sana katika nchi za ulaya na america,kwa Africa Nigeria na Kenya ndio nchi ambazo zimeichangamkia sana fursa hii.Tanzania watu wengi hawajaifahamu bado,ila naamini kwa yeyote ambaye atabahatika kuisikia hawezi kuiacha.
Fursa hii inahusika na uwekezaji.Kampuni ya kiingereza inayoitwa Bitco International ndio inayotoa fursa hii ya uwekezaji.Mwekezaji atakayewekeza katika kampuni ya Bitco International atapata 3% ya kiasi alichowekeza kama return ya investment kila siku kwa muda wa siku 50.Kampuni inakua kwa kasi siku hadi siku ,na kwa sasa imefikia hatua ya kufungua Charity program katika nchi za Nigeria na kenya.
kuna baadhi ya watu niliokutana nao wengi wao wamekuwa wakiifananisha na Deci,au Network Marketing..Lakini ni waambie tu ukweli hii ni zaidi ya Deci au network Marketing.Kumbuka investment investemnt hii inahusisha coin inayoitwa Bitcoin.COIN ambayo ni maarufu nchi za ulaya ,america na Asia.kwa wenzetu ulaya Bitcoin inatumika kwenye transaction kama currency za kawaida.so kampuni inapopokea coin ulizonunua inaenda kuzi trade then faida ipatikanayo inagawanywa.Pia kampuni ina uwekezaji wake mwingine mwingi tu ,mojawapo maarufu ni kampuni ya bahati nasibu .
uwekezaji huu unafaida kubwa sana coz wana option ya auti compounding,ambapo faida iliyopatikana na mtaji wako vinaweza kujumlishwa na kuinvestiwa tena na ile asilimia tatu ikakatwa kwenye jumla.Kima cha chini cha kujiunga ni Tsh. 30,000/-..kima cha juu hakina limit.
kwa mtu ambaye ataweka laki tano au 1m kwa muda wa miaka 2 ,sijui kama atafikiria kuajiriwa,hii itakuwa ndio biashara yake for life.Mimi ninaona matunda yake ndio maana na witness hii kitu.
Kwa yeyote anayetaka kujiunga au maelezo ya kina kuhusu hii fursa awasiliane nami kwa namba hii 0712 799747.
Please ,mawasiliano yawe either call, sms au whatsapp kwa sababu ya urahisi wa ku respond.Kwa mtu ambaye atataka kujibiwa hapa itabidi awe mvumilivu coz naweza chelewa kumjibu kwa sababu huwa siingii mara kwa mara
Kuna upumbavu mwingi sana, em jiulize wanafanya biashara gani ambayo kwanza haipo wazi yenye faida kubwa kiasi hicho, halafu wanakwambia coin yao inatumika katika transaction kwenye baadhi ya nchi za ulaya, je unadhani kuna ukweli hapa yani waache kutumika currency yao watumie huu uchafu.
This is a scam business like hizo zilizopita, Watanzania wameamka sio wale wa Deci.
Nilikuwa removed kwenye group lao baada ya kuwa na maswali mengi.
member ni wewe tu mwenyewe kama unataka kujiongezea kipato ,lakini hilo sio muhimu sana kwao cha muhimu ni ile investment unayowekeza wewe.Je inahitajika mtu akijiunga aanze kutafuta member wa kukaa chin yake??
ungefanya research kuifuatilia kwa kina hii kampuni ndio ungekuja na hiyo coment yako..kampuni imefikia hatua hadi ya kuanzia charity program kwa baadhi ya nchi bado unaiita Deci..Any way hafungwi mtu kujiunga,nimewatangazia fursa uamuzi upo mikononi mwenu.Yaliyotokea DECI Mia's kadhaa nyuma inarudi kwa mfumo mwingine. Hiyo faida ya 3% kwa kila kwa Sikh 50 ni sawa nafaida ya faida ya 150% kwa hizo siku 50 AU 1050% kwamwaka . kwalugha rahisi ni kwamba ukiweka 1milion baada ya miezi 12 utakuwa 12 million ukijumlisha pesa yako na faida hapo sioni uhalisia . ila kwa sababu watu wanapenda mteremko utapata waumini. Ila jamani uogopeni MUNGU. DECI enzi sake watuwaliwekeza 7 milionna had I Leo hawjapat kitu imebaki ni kilio, wakati DECI faida ilikuwa shilingi ilizaa shilingi 3 kwa mwaka Leo mnakuja nabiashara shilingi 1 izae shilingi 11. Watanzania tunalizwa tens, Michezo hiyo ya utapeli huwa inatokea kila baada ya 15 watu wamesahau masaibu ya nyuma. Nashukuru MUNGU sijawahi shiriki . Lakini ndugu yangu mmoja aliliwa 7 Milioni hajapatahata senti DECI . kama siyo wakala cha kuwashwishi watuwalizwe.Kama ni wakala jiandae mkono Wa sharia baada ya mwaka utakuhika . NIMAONI YANGUSITARAJII MAJIBU YA JAZBA . TUNAELIMISHANA
sio kuanzia..ni kuanzisha sorrybrother
ungefanya research kuifuatilia kwa kina hii kampuni ndio ungekuja na hiyo coment yako..kampuni imefikia hatua hadi ya kuanzia charity program kwa baadhi ya nchi bado unaiita Deci..Any way hafungwi mtu kujiunga,nimewatangazia fursa uamuzi upo mikononi mwenu.
sawa ndugu mimi nimeshaingia na nimeanza kuyaona matundaHakuna kitu hapo ni dhulma, utapeli, na mchezo wakamari tu huo, ingia peke yako na wewe ulizwe usivute wenzako
thanxPambana tu na khal yako bro
Mkuu kweli zipo digital currency lakini watu kama wa huyu mleta mada ni utapeli kama wa DECI. Unawekeza pesa ndogo kwa muda mfupi kisha inatengeneza faida kubwa mno isiyowiana na kanuni za kibiashara. Hata akina Warren Buffet ni biashara zao za compound interest hazileti faida kubwa namna hii ndani ya muda mfupi. Na sasa wapo wengi hao hivyo vikampuni vinavyokuja na mbinu hii.Kuna upumbavu mwingi sana, em jiulize wanafanya biashara gani ambayo kwanza haipo wazi yenye faida kubwa kiasi hicho, halafu wanakwambia coin yao inatumika katika transaction kwenye baadhi ya nchi za ulaya, je unadhani kuna ukweli hapa yani waache kutumika currency yao watumie huu uchafu.
This is a scam business like hizo zilizopita, Watanzania wameamka sio wale wa Deci.
Nilikuwa removed kwenye group lao baada ya kuwa na maswali mengi.
Hizo nchi ni noma, utasikia serikali inauza magari yake kwa bei ya kutupwa, mara fuga kwale tunanunua, mara sungura dah haya mambo hayahitaji kuingia kichwakichwaUlivyotaja Nigeria na Kenya tu
Nimeanguka ndo naamka
Sasa hapo mkuu mi nina kijiswali.brother utomaso ni kitu cha muhimu hasa linapohusika suala la fedha ,wengi wanaamini kama ww kuwa hii ni scam business..BUT naendelea kusema kuwa uoga wako ndio umaskini wako...Bitcoin inatambulika all over the world kwamba ni digital currency ya kwanza kabisa kuanzishwa na inaendelea kusumbua sokoni kwa muda mrefu sasa.Kuna watu wanaishi na kusomesha kupitia hii kitu ni vema ukafanya research before ya ku oppose ..