Fursa kama hii ndio nilikuwa naitafuta kwa muda mrefu

Shukrani mkuu hilo la digital currency sikuwa nafahamu. Ila hawa jamaa hovyo sana yani pesa inajizaa mara 11.!!!
 
kutafuta

member ni wewe tu mwenyewe kama unataka kujiongezea kipato ,lakini hilo sio muhimu sana kwao cha muhimu ni ile investment unayowekeza wewe.
Zikiisha siku 50 unarudishiwa ulichoweka ama...
 
Kuna jamaa mmoja toka humu humu JF alinifuata na kuniambia brother naona wachangiaji wengi wanaikosoa hii fursa
ukweli hata mimi ilikuwa ngumu kuamini lakini nimekuja kwako leo nimeona jinsi ulivyowekeza na unavyonufaika.Akasema unajua watu wengi wanakufa maskini kwa sababu ya kushindwa kuthubutu na ku take risk.Let assume mtu ambaye kila wikiend au kila siku anaenda kuweka heshima bar,au mtu ambaye kazi yake yeye ni kuhonga tuu, au wale wanaoshinda club hawana hata wikiend.Kwa nini wasijinyime angalau hata miezi miwili kufanya hayo mambo wakakusanya hela ya kuwekeza kwenye hii fursa incase kama wakiliwa kama wanavyoa amini hawataumia sana coz hela ilikuwa lazima itumike tu.Mimi nikakosa cha kumjibu ,nikasema kimoyo moyo jamaa amefikilia mbali sana.Ila ni ukweli usiofichika Wengi wetu tunaogopa sana ku take risk at the same time fedha ambazo tungeweza kuzifanyia biashara tunafanya kazi ya kuzifuja katika matumizi yasiyozalishia.
 
Bitcoin inaporomoka kwa speed...hiyo faida unayoingelea itapatikanaje kama currency unayoingolea imepata changamoto kubwa
 
Mimi napenda ujasiriamali ambao ni kazi nafanya kwa sasa but this one is scaring!!!
May be I can risk my 30k and see how it ends
 
Ninaposkia neno Nigeria na Kenya nakumbuka utapeli uliobobea
 
Kuna jamaa anadai yeye ameshawahi kupigwa katika hii fursa , sasa sijui yeye alipigwa mwaka gani maana kuna watu toka inaanza hii fursa wanaifanya hawajawahi kupigwa na wanaendelea kuifanya mpaka leo.Wakatishaji tamaa ni wengi sana, mimi sishangai kuhusu hilo hata kidogo coz ni kawaida ya Watanzania.
 
Ninaposkia neno Nigeria na Kenya nakumbuka utapeli uliobobea
hahahaa, daah always ukiwa na negative mind uta oppose kila kitu..kumbuka hii kampuni haijaanzishwa nigeria au kenya...bali hizo ni sehemu ambazo kampuni imefungua charity program..Na ukifungua website ya kampuni wameweka tangazo kama kwenye nchi yako kuna mtu anataka kufungua charity program awasiliane nao, watakupa vigezo na masharti ya kukuwezesha.
 
Watz weng tunapenda kukaa ofisin kukimbizana na daladala haya mambo ya kufanya uwekezaj bado hatujayazoea!
Bitcoins hutumika kwenye biashara haramu kwa asilimia kubwa, huwa haijulikani muuzaji au mnunuaji ni nani. Hapa money laundering haikawiii kuingia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…