mchakamchaka
Member
- Feb 25, 2010
- 6
- 2
Come June this year, nataraji kuwa na likizo ndefu ambayo sehemu ya muda wa likizo natamani kutumia kutafuta fursa katika biashara ya nafaka. Kusafirisha nafaka kutoka Tanzania kwenda nchi jirani hasa Uganda, Sudani kusini au Burundi.
Ni biashara ambayo naifatilia juujuu tu ila safari hii nimepanga kuijaribu kidogo au kuifanyia utafiti wa kina, najua wadau wanaodeal na hii biashara humu hawakosi,ningefurahi kupata ABC kutoka kwa wadau humu kwanza.