Fursa kwa anae hitaji kuingia Japan

Ww una ndugu rafiki au jirani yako kaenda Japan kaibiwa? Mlete hapa aseme.
 
Fursa hii ingekuwa ni ya kweli wala asingeitangaza ila inatisha unaroo nzuri ee ?
 
Mr Baba jazey athante kwa kuliza Nauli hutegemea majira,kipindi cha Baridi ni $1950
Joto $2200___2100b
Kulala ni bule nihapohapo kwa Mwenyeji wako.
Mtaji inategea mzigo unao fuata
Lugha Kubwa ni English
USALAMA %100
Naheshima juu
Hasa ukitambulika kwa ni Tz BASI wana mkumbuka Nyerere.
 
a
aksante, hiyo nauli ni ya kwenda na kurudi?. kiukweli natamani sana kutembea japan
 
sasa mkuu kwa anayetaka kuzamia, ndio mara yake ya kwanza kutua Japan mwenyeji wake atakuwa ni nani?
 
Nataka half cut ya fuso,yenye cabini,gear box,na engine niandae ngapi fuso mayai
 
Ni bora kuzamia kuliko kuishi Tanzania iliyogeuzwa kuzimu na ccm, mkuu, mimi nitafutie demu wa kijapan nioe huko, haya mateso nimechoka maana sina hela ya nauli
Unalijua Tetemeko la ardhi? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
bandugu balikuwa banatafuta ngómbe ba maziwa haba!!!!
 
Mimi nataka kununu scraper Kaka naweza pata garage kwako?
 
🙏🙏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…