Fursa kwa anae hitaji kuingia Japan

Fursa kwa anae hitaji kuingia Japan

Fursa hii ingekuwa ni ya kweli wala asingeitangaza ila inatisha unaroo nzuri ee ?
 
Mr Baba jazey athante kwa kuliza Nauli hutegemea majira,kipindi cha Baridi ni $1950
Joto $2200___2100b
Kulala ni bule nihapohapo kwa Mwenyeji wako.
Mtaji inategea mzigo unao fuata
Lugha Kubwa ni English
USALAMA %100
Naheshima juu
Hasa ukitambulika kwa ni Tz BASI wana mkumbuka Nyerere.
 
a

aksante, hiyo nauli ni ya kwenda na kurudi?. kiukweli natamani sana kutembea japan
 
Mr Baba jazey athante kwa kuliza Nauli hutegemea majira,kipindi cha Baridi ni $1950
Joto $2200___2100b
Kulala ni bule nihapohapo kwa Mwenyeji wako.
Mtaji inategea mzigo unao fuata
Lugha Kubwa ni English
USALAMA %100
Naheshima juu
Hasa ukitambulika kwa ni Tz BASI wana mkumbuka Nyerere.
sasa mkuu kwa anayetaka kuzamia, ndio mara yake ya kwanza kutua Japan mwenyeji wake atakuwa ni nani?
 
Nataka half cut ya fuso,yenye cabini,gear box,na engine niandae ngapi fuso mayai
 
Ni bora kuzamia kuliko kuishi Tanzania iliyogeuzwa kuzimu na ccm, mkuu, mimi nitafutie demu wa kijapan nioe huko, haya mateso nimechoka maana sina hela ya nauli
Unalijua Tetemeko la ardhi? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Matapeli ni nyie mnao tumia majina Bandia na usilolijua ni usikimbilie mada ,Japan sio Kama Tz,Unapo tua Air port ukamaliza utaratibu wa pale ndani Ww utaonekana popote uendapo,na hakuna biashara ya Cash pesa yako Bank unalipia Bank,wa Tz niwajuzi kuongea mdomoni kishwani ( )
Na huishia mdomoni,
bandugu balikuwa banatafuta ngómbe ba maziwa haba!!!!
 
Naitwa Gebiherd Gebe Millinga, Mzaliwa wa Mkoa wa Ruvuma
Wilaya ya Nyasa kijiji Lituhi. Ni MTANZANIA Fani yangu ni Fundi Magali. Garage yangu ipo Tabata Segerea Dar-es-Salaam. Makazi yangu ni Tabata Makoka.

Nime igia Japan Mara 3 kwa Miezi 3 kila Tripu.
Safari zangu za Japan ilikua ni Kununua Magali na kukata yani Spare Used na Spare Mpya.

Kwahiyo Mimi Japan Nina Mwenyeji raia Yupo Mkoa Osaka ,Wilaya Kobe,Mji Miki. Air port Kansai.
Ana Kampuni ya kuuza Magali na Kama unahitaji kukata Kama spare ni hiyali yako,

Na Kama Una hitaji spare mpya ni wewe biashara unayo taka kufanya
Na kabla huja ondoka lazima uwe na mdhaamini au dhamana ukizamia mdhaamini wako anawajibika.

Kwa Maelezo zaidi tuwasiliane
Kwa +255754771177
+255653003377
Mimi nataka kununu scraper Kaka naweza pata garage kwako?
 
🙏🙏🙏
 
Back
Top Bottom