Fursa kwa kila mtanzania kuonja utamu wa keki ya taifa letu kwa kusafiri na treni ya SGR kwa safari zake za kikazi, kitalii au kibiashara

Umeanza lini uafisa habari wa SGR?
 
Tuache tabia ya kuhusianisha mafanikio ya serikali na mtu binafsi, kama ni suala binafsi basi hongera ziende kwa Magufuli.

Vv
Amesema hongera kwa kukamilisha. JPM hata kama hajatajwa kila mtu anajua Samia kakamilisha kazi aliyoiacha JPM.
 
Amesema hongera kwa kukamilisha. JPM hata kama hajatajwa kila mtu anajua Samia kakamilisha kazi aliyoiacha JPM.
Asanti sana gentleman shilingi halali ya tanzania kwa kusaidia kuweka record sawa za jambo hili πŸ‘ŠπŸ’ͺ
 
Reactions: Tsh
Wewe huwaoni wanavyoshuka kwa kujishtukia na sura zao zimesawajika kama wamelamba saruji?
🀣 hiyo ni issue ingine sasa,tuna tofautiana vipato kupata mabegi mazuri, hata hivyo kuna aina ya mizigo Lazima utumie shangazi kaja au salfeti upende usipende πŸ’
 
🀣 hiyo ni issue ingine sasa,tuna tofautiana vipato kupata mabegi mazuri, hata hivyo kuna aina ya mizigo Lazima utumie shangazi kaja au salfeti upende usipende πŸ’
Salfeti ndiyo kama ile ya sandarusi iliyotumika kubebea "mahela" ya escrow?
 
Well done serikali sikivu ya CCM, chini ya kiongozi madhubuti, comrade Dr. Samia Suluhu Hassan, Raisi wa JMT kwa kukamilisha jambo hili la maana sana na la kimkakati kwenye uchumi wetu πŸ‘ŠπŸ’ͺ
Bila kumtaja Mwendazake kwenye hili haya yote yatakosa baraka kwa Mwenyezi Mungu
 
Leo Lumumba wakupe offer nawewe, uende Morogoro, ukafanye utalii wa ndani na kurudi Lumumba. Siyo kila siku, uko hapa kuwasifia mauongo yao na wanakulipa buku 7 tu. Jiongeze
 
Ingekuwa bure tungesema ni keki ya Taifa, keki gani ya Taifa hutakiwi kuila ukiwa na shangazi kaja ? Hii keki si keki tena naona ni andazi lilidondoka kwenye mchanga alafu unapewa ule.
Inatakiwe kuwe na chumba cha mizigo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…