Fursa kwa kila mtu

Fursa kwa kila mtu

robert_k

Member
Joined
Sep 27, 2019
Posts
42
Reaction score
19
Habari wana familia...leo ningependa kukaribisha fursa hii kwa kila mtu haijalishi umri, jinsia au mtu mwenye kazi yeyote. Hivi ushajiuliza wewe mfanyakazi mara kazi imeisha ghafla utafanyaje? Au wewe kijana, yule unayemtegemea mara ghafla hayupo utaweza kusimama mwenyewe?

Wengi wamekuwa wakidanganywa kuhusu biashara ya mtandaoni, na yes kwa sababu ya makampuni ambayo hayana system nzuri za kuendeshaji, kiingilio kikubwa cha kuingia, bidhaa kuwa na bei kubwa mpaka unashindwa kuuza n.k. Yote haya sawa ni sababu ambazo mtu hawezi kuwa katika biashara hii, ila sio hivyo kwa kampuni ya Neolife. Neolife ni kampuni ambayo system ya uendeshaji wake ni mzuri sana, kiingilio ni ya bei ya chini kuliko makampuni yote, hahitaji uwaunganishe watu hadi upate faida hata mauzo ya bidhaa zako tu inatosha mtu kuwa na hela ya uhakika.

Neolife ipo zaidi ya miaka 61 kampuni pekee ambayo haijawahi kupata hasara wala kufilisika. Bidhaa zake ni za uhakika, ni nadra sana madaktari kuzikubali madawa ya makampuni ila dawa za Neolife ni zinakubalika kokote na zinatumika na watu wa umri wote, zipo za watoto, wa mama, wa baba, wazee hadi za wazee. Haikuzuii kuuza bidhaa za afya tu, kuna bidhaa za aina mbali mbali kulingana na matakwa yako, bidhaa za usafi, bidhaa za urembo, bidhaa hadi za kilimo.

Faida ya kuwa Neolife, kwanza ni mauzo ya bidhaa zako. Utanunua kwa bei ndogo sana ila utauza kwa bei yako ya faida na kampuni baada ya mwezi inakupa zawadi ya bonus cheque kama pongezi za mauzo yako...pili, faida ya kutembea. Kampuni inaamini watu baada ya kazi wanahitaji kupumzika baada ya kazi kubwa ya kutafuta hela, huku Neolife unasafirishwa na mwenza wako na unalipiwa kila kitu kuanzia nauli hadi malazi na chakula ukiwa safarini. Mwakani May kuna safari ya Prague, Czech hiyo tutapita nchi 9 France, Paris Germany, Berlin Italy, Milan Lithuania, Belgium na zingine kabla hatujafika Prague. Sasa kuna kazi gani inakupa nafasi hii ya kusafiri?? Hakuna ni Neolife tu.

Pengine kuna watu washaanza kusema ni wazushi au ni kama wale wale ila kama unasikia msukumo hata wa kuja tu kuona na kusikia shuhuda za watu waliokuwa wa kawaida kabisa wauza laini, wapika chipsi, wanafunzi wa chuo, wastaafu n.k nakukaribisha tu kuja bure sio kujiunga ni kuja tu kusikia halafu ukisikia msukumo wa kuingia utaingia. Ila maisha ni yako, wote tunaweza soma post za huku ila maisha yetu tunayajua wenywe, usiruhusu mtu kukuamulia hatma ya maisha yako. Uamuzi utakaofanya leo huwezi jua mwakani siku kama ya leo utakuwa ni wewe utakayeandika fursa hii kuwakaribisha watu kwa mafanikio utakayopata. Mafanikio ni uamuzi, na maamuzi ni sasa kwa mkulima, mfanyabiashara, mwanafunzi, mstaafu, mama wa nyumbani n.k

Karibuni sana, mimi nilikuwa mmoja wapo ambao hawakuamini katika makampuni ila nilivyoamua na kuingia nikajisemea yatakayotokea huko mbele na yatokee ila nitakuwa nimejaribu na hakika sasa nina ngazi ya ukurugenzi, ambayo kwa muda mfupi sana niliojiunga hamna ajira ingeniamini kunipa cheo kama hicho kwanini usiwe wewe?? Karibu sana kwa mawasiliano 0766317197/0693307877
 
Networking marketing....sio biashara ya mtandaoni, google hapo ipo worldwide search neolife utaona...warehouse ipo mwenge na system ya uendeshaji inajulikana dunia.nzima....karibu sinza madukani siku upate elimu, wengi walikuwa na mawazo kama yako ila wachache waliochukua hatua wako.mbali
Sawa mkuu


Biashara Ya Mtandaoni Vijana Kuweni Makini.
 
Huu uzi unaweza wasababishia watu ban za kutosha tu.
 
Uzi unajulikana worldwide mzee...kampuni ambayo haijawahi kupata hasara na hata wa kima cha chini anaweza ingia sio kama foreva na zingine unatakiwa ma laki 9 na ushee....karibu sinza madukani jengo la emirates upate more information nina uhakika kama sio sasa ila siku za mbeleni utavutiwa kujiunga
Huu uzi unaweza wasababishia watu ban za kutosha tu.
 
Uzi unajulikana worldwide mzee...kampuni ambayo haijawahi kupata hasara na hata wa kima cha chini anaweza ingia sio kama foreva na zingine unatakiwa ma laki 9 na ushee....karibu sinza madukani jengo la emirates upate more information nina uhakika kama sio sasa ila siku za mbeleni utavutiwa kujiunga

Sawa mkuu, unaposema bidhaa ni za madawa, hauwezi kutaja moja kwa moja ni bidhaa gani?

Mauzo yatakua mazuri sana endapo haijawahi pata hasara wala kufilisika.
Naamini ukinitajia bidhaa zenu ntakua nimeshakumbana naxo kama sio kuzitumia kabisa.

Hayo tu kwa sasa
 
Sawa mkuu, unaposema bidhaa ni za madawa, hauwezi kutaja moja kwa moja ni bidhaa gani?

Mauzo yatakua mazuri sana endapo haijawahi pata hasara wala kufilisika.
Naamini ukinitajia bidhaa zenu ntakua nimeshakumbana naxo kama sio kuzitumia kabisa.

Hayo tu kwa sasa
Okay bidhaa za afya kama pro vitality mbadala wa chakula ...ni mkusanyiko wa nafaka, mboga mboga n matunda, protini jamii ya kunde na mafuta ya samak aina ya salmon kutoka atlantic ocean....hiyo ni mmja ya bidhaa mama ya vijazi lishe...anapewa mama mjamzito, mgonjwa wowote, wasichana waliokuwa na shida ya uzazi hata mtu yeyote maana ni vyakula ambavyo kwa hali ya kawaida hatuvili na ni za muhimu. Mfano kitaalum maswala ya lishe, tunashauriwa kula vipakuli 9 vya matunda ya rangi aina mbali mbali, je hayo matunda ya rangi mbali mbali tunatafutaje na kwa uchumi huu matunda tofauti si ngumu. Kumbe vina umuhim mkubwa sana, umuhimu katika kuongeza kinga, afya ya ngozi. So bidhaa za afya ziko nyingi sana kuna ferminine herbal tabs na masculine kwa mfumo wa uzazi wa mwanaume na mwanamke. Kuna tre en en nafaka kamili, wanaume wenye sperm count ndogo, sperm hazina nguvu ni suluhisho la ndoa, matumizi yake ya mara kwa mara hufungua chembe hai na mfumo wa uume, mbegu zinajengeka...karibu sana
 
Wengine Tuko Kantalamba Mkuu. Hiyo Elimu Inayopatikana Sinza Madukani Ungetuwekea Hapa Ili Kurahisisha Mambo.
 
Usikariri hii sio foreva hii ni NEOLIFE INTERNATIONAL ....siongelei foreva hapa au umeona sehemu nimeongea foreva
wote mnafanana, mbinu zenu ni zile zile tu, kuunga unganisha watu ili upate vinginevyo hupati na utaishia kuwa mtumwa wa bidhaa walizokuuzia unapojiunga.

Hizi fursa ni nzuri tu pale inapoanza, ila ukishasikia, oh.. tuna miaka kumi hapa Tanzania, achana nayo maana utapoteza muda na utanufaisha watangulizi wako
 
Jamaa kaja kuwasema wenzake ili ,apate watu wa kuwapiga

Watu washashtuka na hizo biashara zenu.
 
Jamaa kaja kuwasema wenzake ili ,apate watu wa kuwapiga

Watu washashtuka na hizo biashara zenu.
Imani tu mzee...kama wewe unaamini hivyo sawa acha na mimi niamini vingine, na hahitajiki watu milioni kuamini ni watu wachache tu
 
wote mnafanana, mbinu zenu ni zile zile tu, kuunga unganisha watu ili upate vinginevyo hupati na utaishia kuwa mtumwa wa bidhaa walizokuuzia unapojiunga.

Hizi fursa ni nzuri tu pale inapoanza, ila ukishasikia, oh.. tuna miaka kumi hapa Tanzania, achana nayo maana utapoteza muda na utanufaisha watangulizi wako
Hahaha sawa mzee....hii kitu imeanza tz 1995 hadi leo kila mwezi unatoa watu haijalishi umeanza lini au lah....ila kama una imani hiyo sawa
 
Wengine Tuko Kantalamba Mkuu. Hiyo Elimu Inayopatikana Sinza Madukani Ungetuwekea Hapa Ili Kurahisisha Mambo.
Okay mkuu, hii ni fursa inayompa mtu nafasi ya kuwa na ubia na kampuni ya neolife kulingana na mahitaji yake aidha ya afya, kilimo, uzito au urembo. Mfano wewe ni mkulima, basi kuna bidhaa za kilimo inaitwa supergro hiyo ni dawa inayosaidia kuwa na unyevu unyevu katika udongo kwa muda mrefu na pia inaipa rutuba mmea. Tofauti ya mkulima aliyelima na supergro na yule ambaye hajalima na supergro inakuja katika ladha ya mazao, mazao yaliolimwa na supergro yanakuwa na ladha tamu sana. Pia hii supergro inatumika kwa mifugo pia ukichanganya na maji ukawapa kuku,bata hata ng'ombe inawapa virutubisho tosha vya kuongeza uzito

Haya kama una mahitaji ya kiafya, labda wewe ni mgonjwa kuna vijazi lishe. Mgonjwa sawa anakunywa dawa ila mgonjwa anayekunywa vijazi lishe na dawa ni anapata nafuu kwa haraka sana na anaongeza kinga mwilini haraka. Vijazi lishe vilivyokubaliwa na madaktari maana hata huku kuna madaktari pia anapewa kuanzia mama mjamzito hadi mzee safi kabisa vinatengenezwa na vyakula muhimu na madini yanayohitajika sana mwilini

Pia kama una hitaji ya kipato, basi unaweza ukanunua bidhaa kwa sababu utakuwa mwanachama utanunua kwa bei nafuu na kuuza kwa hela yako unayotaka ikuingizie faida. Mwisho wa siku mauzo yako yakiwa mazuri, unapewa bonus cheque kuanzia 3% hadi 25% kulingana na mauzo yako huku ukiongezeka cheo. Ukifika cheo cha ukurugenzi, basi kampuni inakupa nafasi ya kushiriki katika mikutano ya mataifa inayofanyikaga nchi mbali mbali. Kule utaenda na mwenzi wako mtalipiwa kuanzia nauli hadi malazi na chakula kila kitu mkiwa nje ya nchi

Ni fursa nzuri sana, na tofauti na makampuni mengine kwanza kiingilio cha kuwa mwanachama ni kidogo sana hata mtu wa kawaida anaweka akamudu na mfumo wa uendeshaji uko wazi kwa wanachama wote kuhusu mauzo yako na baada ya kila mwezi umeuza kiasi gani na unapewa bonus cheque ya kiasi gani

Karibu sana sana maana jamii kweli tunaishi na wagonjwa, au hata kama sio wagonjwa basi tunafanya kilimo hivyo soko la bidhaa ni kubwa mnooo...karibu sana kwa mawasiliano zaidi njoo inbox tuongee
 
bila payment history yako wala hujanishawishi dada yangu.
 
Back
Top Bottom