Fursa kwa kila mtu

Fursa kwa kila mtu

Ohoooo miaka 61na bado mnazidi kutafuta wateja,bado kampuni haijamaintain au?
 
Habari wana familia...leo ningependa kukaribisha fursa hii kwa kila mtu haijalishi umri, jinsia au mtu mwenye kazi yeyote. Hivi ushajiuliza wewe mfanyakazi mara kazi imeisha ghafla utafanyaje? Au wewe kijana, yule unayemtegemea mara ghafla hayupo utaweza kusimama mwenyewe?

Wengi wamekuwa wakidanganywa kuhusu biashara ya mtandaoni, na yes kwa sababu ya makampuni ambayo hayana system nzuri za kuendeshaji, kiingilio kikubwa cha kuingia, bidhaa kuwa na bei kubwa mpaka unashindwa kuuza n.k. Yote haya sawa ni sababu ambazo mtu hawezi kuwa katika biashara hii, ila sio hivyo kwa kampuni ya Neolife. Neolife ni kampuni ambayo system ya uendeshaji wake ni mzuri sana, kiingilio ni ya bei ya chini kuliko makampuni yote, hahitaji uwaunganishe watu hadi upate faida hata mauzo ya bidhaa zako tu inatosha mtu kuwa na hela ya uhakika.

Neolife ipo zaidi ya miaka 61 kampuni pekee ambayo haijawahi kupata hasara wala kufilisika. Bidhaa zake ni za uhakika, ni nadra sana madaktari kuzikubali madawa ya makampuni ila dawa za Neolife ni zinakubalika kokote na zinatumika na watu wa umri wote, zipo za watoto, wa mama, wa baba, wazee hadi za wazee. Haikuzuii kuuza bidhaa za afya tu, kuna bidhaa za aina mbali mbali kulingana na matakwa yako, bidhaa za usafi, bidhaa za urembo, bidhaa hadi za kilimo.

Faida ya kuwa Neolife, kwanza ni mauzo ya bidhaa zako. Utanunua kwa bei ndogo sana ila utauza kwa bei yako ya faida na kampuni baada ya mwezi inakupa zawadi ya bonus cheque kama pongezi za mauzo yako...pili, faida ya kutembea. Kampuni inaamini watu baada ya kazi wanahitaji kupumzika baada ya kazi kubwa ya kutafuta hela, huku Neolife unasafirishwa na mwenza wako na unalipiwa kila kitu kuanzia nauli hadi malazi na chakula ukiwa safarini. Mwakani May kuna safari ya Prague, Czech hiyo tutapita nchi 9 France, Paris Germany, Berlin Italy, Milan Lithuania, Belgium na zingine kabla hatujafika Prague. Sasa kuna kazi gani inakupa nafasi hii ya kusafiri?? Hakuna ni Neolife tu.

Pengine kuna watu washaanza kusema ni wazushi au ni kama wale wale ila kama unasikia msukumo hata wa kuja tu kuona na kusikia shuhuda za watu waliokuwa wa kawaida kabisa wauza laini, wapika chipsi, wanafunzi wa chuo, wastaafu n.k nakukaribisha tu kuja bure sio kujiunga ni kuja tu kusikia halafu ukisikia msukumo wa kuingia utaingia. Ila maisha ni yako, wote tunaweza soma post za huku ila maisha yetu tunayajua wenywe, usiruhusu mtu kukuamulia hatma ya maisha yako. Uamuzi utakaofanya leo huwezi jua mwakani siku kama ya leo utakuwa ni wewe utakayeandika fursa hii kuwakaribisha watu kwa mafanikio utakayopata. Mafanikio ni uamuzi, na maamuzi ni sasa kwa mkulima, mfanyabiashara, mwanafunzi, mstaafu, mama wa nyumbani n.k

Karibuni sana, mimi nilikuwa mmoja wapo ambao hawakuamini katika makampuni ila nilivyoamua na kuingia nikajisemea yatakayotokea huko mbele na yatokee ila nitakuwa nimejaribu na hakika sasa nina ngazi ya ukurugenzi, ambayo kwa muda mfupi sana niliojiunga hamna ajira ingeniamini kunipa cheo kama hicho kwanini usiwe wewe?? Karibu sana kwa mawasiliano 0766317197/0693307877
WAKUU,

WENYE HAMU YA KUTAPELIWA WOTE WAJE WAPATE MWONGOZO HAPA!!!
 
Back
Top Bottom