Fursa Kwa Simba: Aziz ki kuanza tuition ya kupiga faulo

Fursa Kwa Simba: Aziz ki kuanza tuition ya kupiga faulo

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
"Wakati kikosi kingine kikielekea Kule Dubai ya Africa ( zenji). Mtaalamu wa kupiga ma free kick hapa Tanzania na Africa si mwingine Bali Dr. Aziz ki atabaki avic town akiendesha tuition jinsi ya kupiga faulo Hadi golini Kwa makolo na timu zingine hapa Tz" Ally kamwe (2023).

Kumbuka ada ni laki 3 na nusu.

NB: Fulsa hiyo msije sema hamjaambiwa.
 
Nendeni mkapate full nondo za kushinda mechi za CAF
1672753827536.jpg
 
Back
Top Bottom