Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
"Wakati kikosi kingine kikielekea Kule Dubai ya Africa ( zenji). Mtaalamu wa kupiga ma free kick hapa Tanzania na Africa si mwingine Bali Dr. Aziz ki atabaki avic town akiendesha tuition jinsi ya kupiga faulo Hadi golini Kwa makolo na timu zingine hapa Tz" Ally kamwe (2023).
Kumbuka ada ni laki 3 na nusu.
NB: Fulsa hiyo msije sema hamjaambiwa.
Kumbuka ada ni laki 3 na nusu.
NB: Fulsa hiyo msije sema hamjaambiwa.