Fursa kwa wadada huu wakati wa kampeni

Fursa kwa wadada huu wakati wa kampeni

PEPSI BIG

Member
Joined
Sep 23, 2019
Posts
37
Reaction score
23
Habari zenu akina members wote humu nimeona nitumie kiiengereza siunajua kinapanda sana lazima ukichanganye kidogo

Tunaelekea uchaguzi mkuu na unajua wale watu wa mjengoni vile hua wanakua majimboni ni kuhakikisha hachomoki mtu na pesa ya ruzuku na zile za chama,[emoji23]

Mazuzu yetu lazima tuyashike masikio zamu yetu hii tunakaa vipi kizembe wanaaga wake zao kua wako kwenye kampeni ni kuhakikisha tu hawarudi nazo warudi na ushindi tu

Tena mpaka kampeni ziishe lazima hata baadhi ya raslimali ziuzwe tuzikule pamoja wakatafute tukiwapa ridhaa hio ya miaka mitano ijayo ni kula bata tu mpaka wale kuku wa nyumbani waugue kideri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2]
 
Back
Top Bottom