jijiletushop
Member
- Oct 27, 2023
- 26
- 33
- Thread starter
-
- #21
Jibu zuri ukiwa huna akili ya kufanya uchunguzi kwanza unakurupuka lazma lazima utapeliwe.Mjini ujanja ukiwa na akili tu
Kama unakurupuka tu hufanyi uchunguzi nakutuma hela ukiambiwa hivo jua akili yako bado changa. Mjini akili boss matapeli wapo na waaminifu wapo ni wewe jinsi gani unatumia akili yako.Hii inaitwa fursa fursani,.
Unakuta ukishatuma tu ya kuagiza mzigo...kila ukipga simu...namba unayopiga haipatikani Kwa Sasa tafadhali jaribu tena badae[emoji23]Jua tayar.
Ni kweliJibu zuri ukiwa huna akili ya kufanya uchunguzi kwanza unakurupuka lazma lazima utapeliwe.
Asante sana kwa maneno mazuri! Kamwe sitakatishwa tamaa na maoni ya watu. MUNGU AKUBARIKI DADA.Hongera sana
Usikatishwe tamaa na comments za humu
We are peopleeeeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni vingi sana unaweza tembelea ukurasa wangu wa instagram kuviona vyote.[emoji120]Hebu weka jamvini vitu ulivyonavyo tayari!
Keep going dearAsante sana kwa maneno mazuri! Kamwe sitakatishwa tamaa na maoni ya watu. MUNGU AKUBARIKI DADA.
[emoji120]Keep going dear
Uje dukani kama uko dar dada nikupe offer ya saa hiyo ndo zawadi yangu kwako.[emoji120]Keep going dear
WaooooooUje dukani kama uko dar dada nikupe offer ya saa hiyo ndo zawadi yangu kwako.[emoji120]
OkayWaoooooo
Asante sana nipo dar chaap nakuja PM
Asante kwa kuipokea[emoji120]Ahsante kwa taarifa...
Hii comment imenipa saa nzuri sanaKeep going dear
Asante sana dada kwa moyo wako wa kipekee wa kunitia Moyo[emoji120]Mungu azidi kukubariki.Hii comment imenipa saa nzuri sana
Asante sana mdogo wangu Mungu akuongezee ulipopunguza
View attachment 2807984View attachment 2807985
Hapana bossJe Mr kuku, mzee wa vanila ni ndugu zako?