Fursa kwa wahitimu wa Kidato cha Nne na Sita

Fursa kwa wahitimu wa Kidato cha Nne na Sita

vision 2020+

Member
Joined
Jan 31, 2012
Posts
91
Reaction score
18
Je wewe umemaliza kidato cha nne au cha sita? au Je mzazi una mtoto aliyemaliza kidato cha nne au cha sita?

Je Unahitaji na Kujiunga na mitaala ya elimu ya Uingereza na kuhitimu na cheti cha Uingereza au Tanzania?Je unamalengo ya ukimaliza kidato cha nne na kujiunga na chuo mpaka degree moja kwa moja?

Sasa Learnit Institute of Business and Technology na NCC Education ya Uingereza wenye uzoefu wa zaidi ya miaka 20 katika fani hii inawaletea kozi maalum za Compyuta, Biashara na Uhasibu zinazoanzia na NTA Certificate, Diploma, Advanced Diploma hadi Degree kwa ada nafuu kabisa.

Chuo kimesajiliwa na kina Ithibati ya NACTE, VETA, University of Greenwich pamoja na NCC Education ya Uingereza.
Chuo kina wataalamu wa hapa hapa nchini na kutoka nje walio bobea katika fani hii hizi.

Chuo Kimeandaa semina kuhusu fani hizi Tarehe 11, 12, na 13 Machi ili upate fomu na ushauri kuhusu masomo haya kutoka kwa wataalamu wetu na Hii semina ni bure kwa wanafunzi waliomaliza kidato cha nne na sita.

Kwa maelezo zaidi Namna ya Kujiandikisha kwa Hii semina Piga simu namba 0713 333 870 au 0687232141

Nafasi kwa ajili ya semina ni kwaajili ya wahitimu wa kidato cha nne na sita na zipo chache wahi mapema kabla ya Kuisha.


Flier for distribution A5.jpg
 
Back
Top Bottom