Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,713
- 6,121
Habari za wakati huu;
Wakati ukiendelea kutuma barua kuomba ajira katika sehemu mbalimbali unaweza pia kutumia elimu yako kutafuta solution ya moja ya changamoto za elimu ikiwa ni pamoja na kutoa huduma ya masomo ya ziada.Baadhi ya Masomo ya ziada unaweza ukayatoa kwa njia ya VIDEO-YOU TUBE,Au ukawa unawapatia watoto Masomo ya nyumbani (Home Schooling) au hata ukawa na Complete ONline Class (E-Learning)
Hizi teknolojia zipo na unaweza kuwekeza kiwango kidogo sana cha Mtaji na ukaanzisha business yako ndogo.Unawza ukapata Mafunzo ya JINSI ya kuandaa Online Courses,Tools na technologies mbalimbali ambazo unaweza kutumia za bure na za kulipia.Unapokuwa unafanya hivi unaiweka pia kwenye CV yako na unapoomba kazi unaonesha kwamba wewe una kitu cha ziada tofuati na wengine.Kumbuka katika ulimwengu wa ushindani ubunifu ni muhimu sana ili uweze kupiga hatua katika maisha.
Karibuni hapa tujadili fursa na changamoto ambazo unaweza kukutana nazo iwapo utaamua kuwekeza katika teknolojia ya utoaji wa elimu na namna ambavyo inaweza kuleta mabadiliko katika mfumo wetu wa elimu.
Iwapo unapenda kuanzisha Program ya kufundisha kwa njia ya mtandao au kupatiwa mafunzo na ushauri kuhusu fursa ya kuwa E-Tutor tafadhali wasiliana na masokotz@yahoo.com ili uweze kupewa mbinu na ushauri utakaokuwezesha sio tu kuwa tofauti bali kuleta chachu katika ushindani kwenye soko la ajira.
Karibuni