FURSA: Kwa Wajasiliamali Mikoani

FURSA: Kwa Wajasiliamali Mikoani

Classic 1

Senior Member
Joined
Sep 11, 2021
Posts
117
Reaction score
113
Biashara ni kutatua changamoto za watu.

Watu waliopo nje ya Dar es Salaam hupata shida kufuata bidhaa Kariakoo Dsm. Imagine mtu anafunga safari toka Songea au Kigoma, Mwanza, etc. mpaka Dar es Salaam kufuata bidhaa ambazo zinaweza kusafirishwa mpaka mtu (mfanyabiashara) alipo bila kutumia gharama kubwa ya muda na pesa.

Kwa kuwa ninajua baadhi ya maduka ambayo huuza bidhaa kwa bei rahisi maarufu kama"Machimbo" , Nipo tayari kutoa huduma ya kukununulia bidhaa wewe mjasiliamali ambae unaishi mbali na Da es Salaam na kuzituma Mikoani kwako. Utalipia kiasi kwa huduma hii.

Bidhaa ambazo ninajua Machimbo yake ni kama:

*Saa(Watches)
  • Handbags
  • Wallets & men's belts (waleti na mikanda ya kiume
  • Kitchen ware
  • women's shoes
Kama utahitaji huduma nitumie PM (message) au

Piga: +255 658 700 510

NB: Sio kila mtu anayeuza bidhaa / kutoa huduma mtandaoni ni mwizi, hiyo ni stereotype. Wezi wapo ndiyo, lakini sio kila mtu ni mwizi. Ndiyo maana mpaka leo Alibaba, eBay, Amazon, Aliexpress, bado wapo na wataendelea kuwepo.

Wake up!

Thanks!
 
Mkuu,Wanawezaje kukuamini?

Hilo gap la kutomwamini mtu ambaye hujawahi kukutana nae najua lipo na litaendelea kuwepo kwa baadhi au wengi wao. Ni kitu cha kawaida kwa mwanadamu kisaikolojia wanaita "fear of the unknown" Lakini wengine wataishinda hofu na kujaribu then wataona mwanga.

Hata Alibaba walipoanza concern kubwa kwa prospective buyers ilikua how can I trust, this and that... Lakini sasa hivi wengi wao uoga umewatoka.

So with time wataniamini nakujaribu then wataona mwanga.

NB: Ninaexperience na biashara za mtandaoni, sio Kila mtu ni mwoga wengine huthubutu.
 
Yeye anadhani ni rahisi tu hivyo!
Mwenye duka mwenyewe huwa anafanyiwa vetting na research ya kutosha kabla hujamwamini kumtumia fedha

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu, any online business kwa nchi za dunia ya tatu kuna changamoto za namna hiyo. Hata Kule China ilikuwa hivyo. Lakini hatuwezi kuacha kufanya jambo kisa watu hawa-trust online businesses & services. We are here to pave the way. E-commerce won't fade away, E-commerce is the future.
 
Binafsi na fanya delivery ya electronic mikoani lakini sikuwa na ujasiri wa kumwaminisha mtu from know where nimekutana nanye tu jf nimtumie pesa kisha anitumie mzigo ... siyo rahisi sana ... ula nikutakie kila laheri mkuu
 
Binafsi na fanya delivery ya electronic mikoani lakini sikuwa na ujasiri wa kumwaminisha mtu from know where nimekutana nanye tu jf nimtumie pesa kisha anitumie mzigo ... siyo rahisi sana ... ula nikutakie kila laheri mkuu
Ninaona lengo lako kuu kwenye hii reply nikutujuza biashara unayofanya (kujitangaza). Out of that is just noise. Nimeshawajibu kadhaa wenye mawazo kama yako. Refer the previous replies. Maisha ni kuchagua, kama wewe umechagua kuwa na mawazo mgando - ni wewe!
 
Binafsi na fanya delivery ya electronic mikoani lakini sikuwa na ujasiri wa kumwaminisha mtu from know where nimekutana nanye tu jf nimtumie pesa kisha anitumie mzigo ... siyo rahisi sana ... ula nikutakie kila laheri mkuu
Mkuu ujasiriamali unahitaji risk takers ni vizur ukae kimya kwa faida ya wengine
 
New Arrivals, Now in stock
Women's shoes, hizi ni baadhi tu karibuni.
MOQ: 36
IMG-20230914-WA0001.jpg
 

Attachments

  • IMG-20230914-WA0008.jpg
    IMG-20230914-WA0008.jpg
    57.4 KB · Views: 1
  • IMG-20230914-WA0004.jpg
    IMG-20230914-WA0004.jpg
    60 KB · Views: 1
  • IMG-20230914-WA0000.jpg
    IMG-20230914-WA0000.jpg
    53.7 KB · Views: 2
  • IMG-20230914-WA0009.jpg
    IMG-20230914-WA0009.jpg
    58.3 KB · Views: 2
  • IMG-20230914-WA0010.jpg
    IMG-20230914-WA0010.jpg
    62.2 KB · Views: 2
Back
Top Bottom