Pata Maazimio Ya Kazi (Schemes Of Work) Kwa Shule Za Msingi Kwa Masomo Yote, Darasa La Kwanza Hadi Darasa La Saba, Yaliyo andaliwa kulingana Na Mtaala Mpya.
Tumekuandalia Maazimio Ya Kazi mapya kwa mwaka 2022 na zimeandaliwa kwa kufuata mtaala mpya wa Elimu ya Msingi Tanzania.
Maazimio ya Kazi pdf zipo na pia Maazimio ya kazi Word/Docs pia zipo ambazo utaweza kuongeza Jina la Mwalimu, Jina la Shule na taarifa zingine kutegemeana na uhitaji wako.
Maazimio ya kazi Shule Za Msingi 2022.
Maazimio Ya kazi Maarifa ya Jamii Shule Za Msingi 2022 Darasa la kwanza hadi la Saba.
Maazimio Ya kazi Hisabati Shule Za Msingi 2022 Darasa la kwanza hadi la Saba.
Maazimio Ya kazi Kiswahili Shule Za Msingi 2022 Darasa la kwanza hadi la Saba.
Maazimio Ya kazi English Shule Za Msingi 2022 Darasa la kwanza hadi la Saba.
Maazimio Ya kazi Sayansi na Teknolojia Shule Za Msingi 2022 Darasa la kwanza hadi la Saba.
Maazimio Ya kazi Uraia na Maadili Shule Za Msingi 2022 Darasa la kwanza hadi la Saba.
Maazimio Ya kazi Stadi za Kazi Shule Za Msingi 2022 Darasa la kwanza hadi la Saba.
0752026992