Fursa kwa watumishi wa Umma

Sasa na wewe si Ukope ununue simu?
 
We mtumishi wa umma kaa chonjo na hii mikopo...hasa kutoka taasisi hizi.

Platinum
ABC
Bayport

Usije kusema hukuonywa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hii riba ni kwa kila mwaka?au kwa kiasi utakachokopa regardless utailipa kwa muda gani?
SWALI HILI NI LA MSINGI,NAOMBA
LIJIBIWE.
 
HAMUHITAJI BARUA KUTOKA KWA BOSS WANGU?
 
Riba 16% kwa mfumo upi?
1) Reducing Balance?
2) Flat Interest? (AU)
3) Kikokotoo chenu mbali ya (1) na (2) ?
 
Kama wewe tu unatumia tecno huo mkopo? Halafu nyie ni wababaifu zaidi ya Bayport na Platinum!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…