Kennedy
JF-Expert Member
- Dec 28, 2011
- 54,894
- 64,043
Hawa Wjanjawanja Unaweza Kujikuta Unalipa MpakaRiba yenu vipi? Hilo ni jambo la muhimu zaidi na hujalisemea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa Wjanjawanja Unaweza Kujikuta Unalipa MpakaRiba yenu vipi? Hilo ni jambo la muhimu zaidi na hujalisemea.
It's easy and friendly loansWamekuja Kuumiza Watu
CRDB Wana 1416% iliopo kwa Sasa, Utofauti wetu hatuna pia gharama zingine zozote zinazohusiana na mteja anaipata hela yake CASH.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
16% flat rate au declining rate???????16% iliopo kwa Sasa, Utofauti wetu hatuna pia gharama zingine zozote zinazohusiana na mteja anaipata hela yake CASH.
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Sasa na wewe si Ukope ununue simu?HII NI KWA WATUMISHI WA SERIKALINI PEKEE
habari Banc ABC (African Banking Corporation) tunakukaribisha uweze kujipatia mkopo
Vigezo vya kupata mkopo wa fedha kwa watumishi wa Umma.
1. Uwe na copy ya kitambulisho cha kazi
2. Uwe na copy ya kitambulisho c'ha taifa.
3. Salary slip moja ya mwezi uliopita.
4. Bank statement (miezi mitatu)
5. Passport size moja tu.
Kima cha chini cha mkopo ni kuanzia Tsh. 500,000 na kima cha mwisho cha kukopa ni 40,000,000.
Muda wa marejesho ni kuanzia miezi 6 mpaka miezi 96 (miaka nane). Utachagua mwenyewe unahitaji mkopo wa muda gani.
Huduma ni popote Tanzania.
pia kwa wale wenye mikopo sehemu nyingine mfano taasisi zingine tunanunua au HESLB PIAinawahusu pia ukiwa na uhitaji tunauwezo wa kununua deni ulilokopa...
FAIDA ZA ABC
1.Hatuna loan process fee
2. Hatuna makato ya bima
3. Mteja anapata mkopo wake 24 mpk 48 hrs
4. Mchakato wote tunakufanyia huku ukiwa unaendelea na shughuli zako freely
5.Sio lazima Uwe na account banc ABC, tunakutumia hela kwenye account yako ulionayo, lkn pia tunakukaribisha sana.
Kwa,
mawasiliano zaidi piga 0656946198 Mahali popote ulipo unapata. Karibu sana normal text, call or wasap.
Thanks
Banc ABC
EASY LOAN
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hii riba ni kwa kila mwaka?au kwa kiasi utakachokopa regardless utailipa kwa muda gani?16% na
-Hakuna makato ya mkopo wako unaipata pesa yako taslimu
-Hakuna gharama ya bima (insurance or security etc
-Loan processing fee hakuna
-Mchakato wote anafanya afsa mkopo mpaka unapata mkopo wako ndani ya masaa 24 mpk 48 huku ukiendelea na shughuli zako
-Hata kama hauna account banc ABC tunakupatia mkopo wako kwenye Hiyohiyo account yako cash kabisa
-Tunapatikana kokote ulipo
-Tunanunua madeni kwa taasisi zingine za fedha au HESLB
-tunaruhusu mteja kutop up (kukopa tena ikiwa kiwango chake kinaruhusu)
KARIBUNI SANA MUDA WOWOTE MY CONTACT 0656946198
WASAP, CALL, TEXT
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hiyo ni declining rate16% flat rate au declining rate???????
Funguka
Hiyo ni kwa mwaka mkuu,Hii riba ni kwa kila mwaka?au kwa kiasi utakachokopa regardless utailipa kwa muda gani?
SWALI HILI NI LA MSINGI,NAOMBA
LIJIBIWE.
Acha uongo mkuu, nyie ni wasumbufu sana na wajanja wajanja. Alafu maafisa mikopo wenu njaa kali sana, wanaomba hela mpaka basi. Mnahitaji stategies nzuri kupenya sekta ya mikopo kwa watumishi.
Ni hatari
Hapana haiko hivyo,Ukiingia unafungiwa humohumo!
Karibu mkuu tukupatie mkopo. We are every whereAcha uongo mkuu, nyie ni wasumbufu sana na wajanja wajanja. Alafu maafisa mikopo wenu njaa kali sana, wanaomba hela mpaka basi. Mnahitaji stategies nzuri kupenya sekta ya mikopo kwa watumishi.
Kama wewe tu unatumia tecno huo mkopo? Halafu nyie ni wababaifu zaidi ya Bayport na Platinum!!HII NI KWA WATUMISHI WA SERIKALINI PEKEE