Fursa kwa watumishi wa Umma

Acha uongo mkuu, nyie ni wasumbufu sana na wajanja wajanja. Alafu maafisa mikopo wenu njaa kali sana, wanaomba hela mpaka basi. Mnahitaji stategies nzuri kupenya sekta ya mikopo kwa watumishi.
Yeye mwenyewe anatumia tecno KI7
 
Halafu nyinyi ndio likitokea janga, mfano mwajiriwa kafariki, kufukuzwa kazi, ndio mnataka mlipwe kwenye mirathi ya marehemu,.... Riba zenu hamuweki wazi km CRDB, BOA, NMB mm si mshauri kabisa mteja kukopa kwenu nina experience kubwa
 
Hapana kila kitu Kipo wazi nimeweka humu, lkn mtu akifa hatuendelei na Deni ila tunampatia ndugu yake ya pole kwasababu ni customer wetu na ikiwezekana tunashiriki kbs

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Bank ipi yenye Riba nzuri kwa hapa Bongo jamani kwa sasa?
 
Hii ni kweli kabisa!!! Wanakufanya kitega uchumi chao cha miaka mingi!!!!
 
We mtumishi wa umma kaa chonjo na hii mikopo...hasa kutoka taasisi hizi.

Platinum
ABC
Bayport

Usije kusema hukuonywa.

#MaendeleoHayanaChama
🤧🤧 na platinum imo daah imekula kwangu...msaada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…