Fursa kwa watumishi wa Umma

Fursa kwa watumishi wa Umma

Karibuni ndugu zanguni, tuwasiliane muda wowote kwaajiri ya mchakato.
 
HII NI KWA WATUMISHI WA SERIKALINI PEKEE

habari Banc ABC (African Banking Corporation) tunakukaribisha uweze kujipatia mkopo

Vigezo vya kupata mkopo wa fedha kwa watumishi wa Umma.
1. Uwe na copy ya kitambulisho cha kazi
2. Uwe na copy ya kitambulisho c'ha taifa.
3. Salary slip moja ya mwezi uliopita.
4. Bank statement (miezi mitatu)
5. Passport size moja tu.

Kima cha chini cha mkopo ni kuanzia Tsh. 500,000 na kima cha mwisho cha kukopa ni 40,000,000.

Muda wa marejesho ni kuanzia miezi 6 mpaka miezi 96 (miaka nane). Utachagua mwenyewe unahitaji mkopo wa muda gani.
Huduma ni popote Tanzania.
7. Riba ni 16% ambapo imecover FAIDA zilizo chini hapa
√√√√

pia kwa wale wenye mikopo sehemu nyingine mfano taasisi zingine tunanunua au HESLB PIAinawahusu pia ukiwa na uhitaji tunauwezo wa kununua deni ulilokopa...

√√√FAIDA ZA ABC
1.Hatuna loan process fee
2. Hatuna makato ya bima
3. Mteja anapata mkopo wake 24 mpk 48 hrs
4. Mchakato wote tunakufanyia huku ukiwa unaendelea na shughuli zako freely
5.Sio lazima Uwe na account banc ABC, tunakutumia hela kwenye account yako ulionayo, lkn pia tunakukaribisha sana.

Kwa,
mawasiliano zaidi piga 0656946198 Mahali popote ulipo unapata. Karibu sana normal text, call or wasap.
Thanks
Banc ABC
EASY LOAN
Karibuni sana.
Watumishi ni nani Atalogeka na hawa WAHUNI ,WEZI, hawa ni Balaa la RIBA ni zaidi BALAA hivi na hawa ni Bank au nini nyie ni Takataka la kuchakaza watumishi wa umma Kwa Riba za juu na masharti magumu ya Riba ,,, Jamani watumishi wapuuzeni hawa Riba zao ni Balaaa,,,utajuta na kufa Kwa mawazo ,,,Riba kama hizi hivi serikali iko wapi Jamani funga vibenk kama hivi
 
Back
Top Bottom