Fursa kwa wenye mashamba mijini

Fursa kwa wenye mashamba mijini

ommytk

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Posts
520
Reaction score
1,143
Wadau fursa hii tushikirikiane.

Kama una shamba na lipo eneo kidogo eneo zuri basi tunapima viwanja na kusimamia uuzaji wote kwa gharama zetu kwa mkataba maalum baina yetu

Wewe uwe na shamba tuite tukae chini tufanye kazi pamoja

Karibu
 
Kwa heka moja mnapima kwa bei gani? Liko Bagamoyo
 
Kwa heka moja mnapima kwa bei gani? Liko Bagamoyo
Dm mkuu.kazi iko hivi sisi lazima tukae nawewe tuone eneo tunapiga gharama ya kazi tunaweka mtaji panapimwa viwanja tunauza kwa pamoja kwa mktabata maalum
 
Back
Top Bottom