ommytk JF-Expert Member Joined Jul 30, 2015 Posts 520 Reaction score 1,143 May 31, 2021 #1 Wadau fursa hii tushikirikiane. Kama una shamba na lipo eneo kidogo eneo zuri basi tunapima viwanja na kusimamia uuzaji wote kwa gharama zetu kwa mkataba maalum baina yetu Wewe uwe na shamba tuite tukae chini tufanye kazi pamoja Karibu
Wadau fursa hii tushikirikiane. Kama una shamba na lipo eneo kidogo eneo zuri basi tunapima viwanja na kusimamia uuzaji wote kwa gharama zetu kwa mkataba maalum baina yetu Wewe uwe na shamba tuite tukae chini tufanye kazi pamoja Karibu
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 May 31, 2021 #2 Kwa heka moja mnapima kwa bei gani? Liko Bagamoyo
ommytk JF-Expert Member Joined Jul 30, 2015 Posts 520 Reaction score 1,143 May 31, 2021 Thread starter #3 kawombe said: Kwa heka moja mnapima kwa bei gani? Liko Bagamoyo Click to expand... Dm mkuu.kazi iko hivi sisi lazima tukae nawewe tuone eneo tunapiga gharama ya kazi tunaweka mtaji panapimwa viwanja tunauza kwa pamoja kwa mktabata maalum
kawombe said: Kwa heka moja mnapima kwa bei gani? Liko Bagamoyo Click to expand... Dm mkuu.kazi iko hivi sisi lazima tukae nawewe tuone eneo tunapiga gharama ya kazi tunaweka mtaji panapimwa viwanja tunauza kwa pamoja kwa mktabata maalum