Fursa kwenye biashara za ICT

Fursa kwenye biashara za ICT

icoderz

Senior Member
Joined
Mar 9, 2014
Posts
135
Reaction score
82
Wadu kwema? Naomba muongozo wenu, je ni business gani ya kwenye ICT inalipa sana kwa sasa bongo ambazo unaweza kupata tenda au kazi kwenye makampuni makubwa au hata serikalini? Nilisomea mambo ya software development sasa nataka nianze kupiga issue zangu mjini.

Shukrani
 
Kila kitu kinalipa kwenye ICT mkuu,ni kujipanga tu.Ila kama ulisoma software development then anza na hiy😵ffice automation bado ni eneo changa na linachipuka hasa serikalini,ila jipange kwa ushindani sababu wadau wapo wengi wanafanya hizo ishu kwa sasa so usije kukata tamaa.kusanya jamaa zako kadhaa wanaojua programming especially web base applications ndio preferable kwa sasa,then tafuta mtu wa marketing na connection moja ya kazi ili ikujengee CV.

Kila la kheri
 
Sawasawa mkuu nimekusoma vizuri sana.
 
Back
Top Bottom