Kila kitu kinalipa kwenye ICT mkuu,ni kujipanga tu.Ila kama ulisoma software development then anza na hiy😵ffice automation bado ni eneo changa na linachipuka hasa serikalini,ila jipange kwa ushindani sababu wadau wapo wengi wanafanya hizo ishu kwa sasa so usije kukata tamaa.kusanya jamaa zako kadhaa wanaojua programming especially web base applications ndio preferable kwa sasa,then tafuta mtu wa marketing na connection moja ya kazi ili ikujengee CV.
Kila la kheri