University of Dodoma (UDOM)
Public Institution
- Feb 24, 2024
- 50
- 55
Mwanafunzi mwenye ufaulu wa Div 2.11 PCBUDOM imeongeza Programu 5 mpya za Shahada za Awali:
✅ Bachelor of Science in Medical Laboratory Sciences (BSc-MLS)
✅ Bachelor of Business with Education (BBE)
✅ Bachelor of Counselling Psychology (BCP)
✅ Bachelor of Science in Crop Production and Technology (BSc-CPT)
✅ Bachelor of Science in Biomedical Engineering (BSc-BE)
📢 Usikose nafasi hii.
Udahili unaendelea hadi tarehe 10 Agosti 2026.
Karibu UDOM!
Apply Now.
#EmbracingKnowledge
#TransformYourFutureatUdom
Ndio anaweza, namshauri atembelee kiunganishi cha application.udom.ac.tz kwa msaada zaidi.Mwanafunzi mwenye ufaulu wa Div 2.11 PCB
anaweza kufit kwenye biomedical?
Sawa, ameshaomba tayariNdio anaweza, namshauri atembelee kiunganishi cha application.udom.ac.tz kwa msaada zaidi.