AGRIWORTH TZ
Member
- Sep 20, 2020
- 40
- 73
Habari yenu wakuu hapa JamiiForums. Kwa namna ya pekee kabisa tunatoa shukrani zetu kutoka kwa wadau mbalimbali waliotoa maoni juu ya tread yetu ya kwanza kuhusiana na zao la parachichi mkoani NJOMBE. Leo tunawaletea ELIMU juu ya zao la macadamia.
KARIBU KWENYE FURSA MPYA YA MACADAMIA. NUTS AU KALANGAPOLI KWA KISWAHILI
Macadamia nizao lenye asili ya Australia,zao hili linalimwa zaidi ktk inchi za Kenya, Canada,Malawi,Australia,Chadi na South Africa.
Miaka ya hivi karibuni kuanzia 2015, Tanzania imepata ongezeko la zao zuri na lenyekuleta ukombozi kwa wakulima liitwalo Macadamia au Kalangapoli kwa lugha ya kiswahili.
Kwa mujibu watafiti zilizofanyika ndani ya inchi yetu zao la Macadamia limeonekana kustawi vyema zaidi ktk mikao ya Njombe, Mbeya,Iringa,Rukwa,Songwe, Kilimanjaro na Kagera.
Aina za Macadamia nuts Kuna aina mbili tu za Macadamia nuts nazo ni Macadamia intergrifolia hii ni smooth-Shell Macadamia hustaiwi kwenye temperature ya 5,15 na Macadamia Tetraphllya hii ni Rough -Shell Macadamia na hustawi kwenye low temperature ya 4,5,japo wenzetu kenya wameweza kuzipatia majina kwalengo lakuzitofautisha wao Wana Kwinyara15 na Muraang'a20.
Macadamia au Kalangapoli hutumia miaka mitatu toka kupandwa na kuanza kuzaa toka kupandwa kwake na hudumu na uzazi kwa mda wa miaka takribani 50.
Mavuno hutegemea mbinu za uzalishaji nataratibu za maandalizi.Miti ikiwa na umri wa miaka 3 mpaka 5 Mazao huwa kilo 20kgs mpaka 25kgs kwa mti mmoja wa kalanga poli kavu zenye Ganda la ndani kwa mti mmoja.
Sokolake nizuri Sana kimataifa na kitaifa.Soko la Macadamia ndani ya inchi yetu kilo moja kwa sasa inauzwa TSH 20000/= waweza tembelea Supermarket zetu nakuzinunua kwa Bei hiyo na kimataifa kwa Sasa nimetazama inchini Australia kilo moja ni USD$18/= per kg,ambayo nisawa na pesa ya kitanzania 41400/= kwa kilo moja.
Kwa ekari moja Pato lake hufikia hadi shilingi za kitanzania milioni Ishirini natano kwa mavuno, TSH 25,000,000/=
Macadamia inatoa mbegu za mafuta kama ilivyo korosho. Hizo mbegu zinahitajika sana kwa watengenezaji wa chocolate vile vile unaweza kukamua mafuta na ubora wake ni sawa na mafuta ya mizeituni (olive oil). Bei ya Roasted and salted Macadamia Nuts kule Australia naona ni $18. Kule Kenya naona wanalamika utoroshwaji wa Macadamia kuja Tanzania kutayarishwa kwa kusafirisha nje.
Upekuzi zaidi unasema macadamia yanastawi sehemu ambazo avocado, mapapai, na ndizi hustawi. Wakulima wengi wa kenya wanang'oa kahawa ili kupanda macadamia.
Ekari moja inapandwa
Miche 64 kitaalamu hupandwa kwa umbali wa mita nane kwa nane(8×8) endapo hauto changanya namazao mengine Kama vile Parachichi,Chai,Kahawa au Migomba ya Ndizi.
Kwa miaka 5 ya hivi Karibuni Tanzania imepata wawekezaji wakubwa kutoka inchini Kenya na Australia wamewekeza ndani ya mikoa ya Njombe na Songwe ambako Macadamia imeonesha matumaini makubwa Sana na kuzidi kuwa vutia wawekezaji wakubwa kuwekeza na sisi tuna washauri wananchi nakuwa hamasisha ili kuongeza uzalishaji kwa lengo la kuexport tani nyingi zaidi za hizo Kalangapoli kwa lugha ya kiswahili au macadamia nuts. Mafanikio katika masoko ya nje ya nchi yamemaanisha uhitaji endelevu wa Macadamia toka Tanzania, Malawi na inchini Kenya.
AGRIWORTH TANZANIA INATOA HUDUMA ZIFUATAZO
1. Upatikanaji wa shamba za kilimo Cha Macadamia kwa gharama ya Tsh.150,000/= kwa ekari moja mkoani Njombe.
2. Uuzaji wa miche ya Macadamia aina ya Kwinyara20, na Muraang'a 15
3. Usimamizi wa shamba kwa mteja aliyembali na shamba lake.
4. Uanzishaji wa mashamba ya Macadamia kitaalamu na kuzingatia tija kwani tunaingia mikataba maalumu na mwekezaji ya ulipaji wa gharama tu za ushauri na pembejeo hadi atapoanza uzalishaji wa awali
5. Uhudumiaji wa shamba wakati wote kipindi cha awali hadi kufikia mavuno ya mwaka
6. Usambazaji wa viuatilifu kwa wakulima.
Tunapatikana mkoani Njombe au
Anuani yetu ni
Agriworth Tanzania Company,
S.L.P.163,
Lupembe Barazani, Njombe Tanzania.
Barua pepe/Email address; agriworthtz@agriworthtanzania.com