Fursa mpya ya zao la Macadamia

Fursa mpya ya zao la Macadamia

Ninacho maanisha ni "kama nina shamba lililopandwa macadamia na kuhudumiwa vizuri itakuaje?"
Basi mkuu ukawaungishe madawa, au gharama za kukutembelea.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Kwa kukusaidia soko la Macadamia ni kubwa sana. Kwa Tanzania sasa hivi madacamia bei Ni mara nne ya bei ya korosho. Kilo moja ya Macadamia ni Tsh 10,000 magamba na iliyomenywa ni Tsh 45,000.
Hizi ni bei za soko la Ndani. Ukivusha nje ya nchi hapo ni kitu tofauti.

1606200806065.png
 
View attachment 1633527
Huu mche umepandwa mwezi May 2020 huko Bukoba.
 
Aisee nilichelewa kuona vitu vizuri, asante kwa taarifa nitawatafuta kuanzia January
 
Back
Top Bottom