Fursa:naombeni mawazo ya kuliendeleza wazo langu la biashara

Fursa:naombeni mawazo ya kuliendeleza wazo langu la biashara

issawema

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2013
Posts
776
Reaction score
643
Wakuu habarini
Mimi ni mwanafunzi wa chuo kikuu hapa nchini nanaenda kumaliza chuo sasa lakini nmepata wazo la biashara pale chuoni, nahisi sijachelewa sana

Wazo:
Nmeamua kuanzisha biashara ya fast food pale chuoni na simple drinks kama juicy ya miwa
Fast food zenyewe ni kama piza, bugger,kuku,nk

Msaada nnaohitaji sasa;
Mimi cna utaalamu wowote wa kupika vyakula hivyo, je kipi bora ni mpaka nkajifunze kwanza au nitafute watu wa kupika?
Na je mashine ya miwa inauzwaje na bipi upatikanaji wa miwa dodoma upoje?

Ntashukuru sana kwa wazo lolote mtakalonipa ili niweze kufanikisha ndoto yangu

Asanten na karibuni
 
Back
Top Bottom