Fursa: Natafuta business partner tufuge samaki

Fursa: Natafuta business partner tufuge samaki

Kwa hatua uliyoifikia sikushauri sana kufanya ubia na mtu. Jaribu kwenda NEEC national economic empowerment commission. Muhimu uwe vema kwenye documentation. PM kwa ushauri zaidi ukipenda
Asante mkuu.nakuja pm kwa Maelezo zaidi
 
Mkuu hongera,kwa uzoefu wangu sato wa kufugwa afiki 1 kg kwa miezi 6.ufugaji mzuri wa samaki ni kambale lakini sato nisipake mafuta ni mgumu, floating pellets ni gharama sanaa na chakula cha unga material yake gharama mpaka uje uvune hawo samaki sato hupati kitu Mkuu.
 
Ndo umeona apo nimeweka idadi yao kidogo mkuu .wao naweka kwa ajili ya kulisha kambale .vifaranga vinavyozaliwa vinaliwa na KAMBALE.na WAP WAP wanakua wanatangulia mwenzi mmoja kabla mpaka miwili.nazijua changamoto zake mkuu
 
Back
Top Bottom