uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,679
- 4,283
- Thread starter
-
- #21
Asante mkuu.nakuja pm kwa Maelezo zaidiKwa hatua uliyoifikia sikushauri sana kufanya ubia na mtu. Jaribu kwenda NEEC national economic empowerment commission. Muhimu uwe vema kwenye documentation. PM kwa ushauri zaidi ukipenda
Sawa mkuu nakuja pmNitumie namba yako tuonane.
Ndo umeona apo nimeweka idadi yao kidogo mkuu .wao naweka kwa ajili ya kulisha kambale .vifaranga vinavyozaliwa vinaliwa na KAMBALE.na WAP WAP wanakua wanatangulia mwenzi mmoja kabla mpaka miwili.nazijua changamoto zake mkuuMkuu hongera,kwa uzoefu wangu sato wa kufugwa afiki 1 kg kwa miezi 6.ufugaji mzuri wa samaki ni kambale lakini sato nisipake mafuta ni mgumu, floating pellets ni gharama sanaa na chakula cha unga material yake gharama mpaka uje uvune hawo samaki sato hupati kitu Mkuu.
Mkuu nahitaji vifaranga wa kambaleUkifanikiwa nitafte nikuuzie vifaranga.
0759741303
eden ni wapi mkuu nami niende kuwaonnaHongera mkuu.nakutakia mafanikio mema.watembelee pale eden Mara nyingi uendelee kuongeza ujuzi.unapafahamu?
Uko maeneo gani Mkuu ,edeni pugu kama unaenda kisarawe ,ukiweza uje kwangu tu hahaeden ni wapi mkuu nami niende kuwaonna