FURSA: Natafuta watu tufungue kijiwe

FURSA: Natafuta watu tufungue kijiwe

nzalendo

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2009
Posts
12,106
Reaction score
12,916
Nimebakhtisha compressor,machine za kuchomelea (Gas/Umeme) na za rangi. Pia spanner za ku unga unga nimeokoteza.Pia kuna mbao za kutengeneza bench.

Kijiwe tufungue pande zipi?

Karibuni wadahu.
 
Nimebakhtisha compressor,machine za kuchomelea (Gas/Umeme) na za rangi.
Pia spanner za ku unga unga nimeokoteza.Pia kuna mbao za kutengeneza bench.
Kijiwe tufungue pande zipi?
Karibuni wadahu.

Kwanza Hongera kwa hiyo hatua, hata kama utakosa milioni basi laki haitakupiga chenga kabisa... Mafanikio mema na upate watu waaminifu.
 
mkuu tuanzie hapo ulitaka kufungua workshop yanini, idea gani unayo?
 
Kwanza Hongera kwa hiyo hatua, hata kama utakosa milioni basi laki haitakupiga chenga kabisa... Mafanikio mema na upate watu waaminifu.
Shukran kwa dua njema
malaika wa kheri wakufuatilie
:hand:
 
Nimebakhtisha compressor,machine za kuchomelea (Gas/Umeme) na za rangi. Pia spanner za ku unga unga nimeokoteza.Pia kuna mbao za kutengeneza bench.

Kijiwe tufungue pande zipi?

Karibuni wadahu.

Hapo fungua kijiwe cha kuziba pancha na kuchomelea vyuma kama una ujuzi kama hauna wenye ujuzi wanaweza kushirikiana na wewe
 
hapo fungua kijiwe cha kuziba pancha na kuchomelea vyuma kama una ujuzi kama hauna wenye ujuzi wanaweza kushirikiana na wewe
mkuu sina ujuzi wowote ila nina hamu sana na maufundiufundi.
 
Back
Top Bottom