FURSA nchini COMORO: Mfanya biashara, soma hapa

1. sehemu ya kufikia
2. biashara utakayo kuja nayo
3. usafirishaji utakao tumia kuja na mzigo
4. hela ya kutolea mzigo bandarini
5. sehemu ya kuuweka mzigo baada ya kuutoa bandarini
kuna changamoto nyingi saana na ukizingatia unaetoka tz ukija comores inakubidi uje na euro maana pesa ya tz haitumiki comores na tsh to euro ni hela nyingi 1euro minimum ni 2500tsh wateja wa comores wana shida zao na hata kupata mteja akanunua mzigo kwa jumla ni shida inategemea na biashara utakayo kuja nayo kiufupi kabla ya kuanza biashara nchini comoro kwanza uje kukodi room ambayo sawa na 50euro laki n 25 kwa mwezi pili utafute oda kwa wauzaji wa jumla au hata wareja reja ukifika na mzigo unaweza ukapata mkopo kutoka kwa wateja wako hadi utakapo toa mzigo ama watanzania waliopô wakusaidie kukupa hela ya kwenda kutoa mzigo na hiyo haina garantii maana hakuna uaminifu watu wamesha ibiana sana mii binafsi yangu nilimpa mtu euro 1500 aende kutoa magodoro kaenda kutoa baada ya kuuza hata hakuniaga kachukua ndege kaondoka kaja zake tz
na wa tz waliopo huko baadhi yao hujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya bangi na unga huzuga kwa kuuza vitunguu ili tu wasijulikane binafsi yangu nisha mpokea mgeni kwa kumsaidia akalala kwangu nikamuuliza umekuja na biashara gani akanambia nimekuja na choclate madwa ya kulevya hayo cjui yanaitwaje nilimuhurumia nikampa hifadhi lakini nikampa wiki moja tu aondoke nilichukua riski kubwa ila nilimuhurumia kwasababu tu ni mtanzania kuna mambo mengi visiwani comores na biashara ni nzuri maana hela yao ni kubwa kuliko shillingi ya tz ila yataka ukakamavu wa hali ya juu kama una suali lolote nitafute nitakupa ushauri mii nilikua na duka la jumla ila mzigo tulikua tunatoa dubai direct
Mukuu..bado upo comoro?
 
Naomba tuwasiliane mkuu
 
Huenda unafanya biashara na raia wa Comoro au ulijaribu ila ukakutana na changamoto za hapa na pale. Au pengine ulikuwa unatamani kufanya biashara aidha kuuza au kununua bidhaa kutoka Comoro. Kuwa na amani, suluhisho limepatikana.

Ubalozi wa Tanzania nchini Comoro na ubalozi wa Comoro nchini Tanzania wakishirikiana na UCCIA na Coso Marketing & PR solution LTD wanakuletea FURSA wewe mfanya biashara.

Ni Fursa ya kuweza kufanya biashara nchini Comoro.

UTAKUTANISHWA na wafanya biashara wakubwa , wadogo , na wa kati wa kuaminika kabisa wa nchi ya Comoro.

Hii ni USO kwa USO, tunatoka Tanzania, tunafunga safari hadi Comoro.

Note : KABLA YA SIKU YA SAFARI KUTAKUWA NA SEMINA MAALUM KWA WAFANYA BIASHARA ITAKAYOFANYIKA KWENYE UBALOZI WA COMORO.

Usikubali kupitwa na hii.

TANUA WIGO wa BIASHARA YAKO.

Kwa mawasiliano
Contact :
0684771367
Email :
coso@communicationsolution.co.tzView attachment 1107977
Vipi wa mitumba tunaruhusiwa
 
Hapana haifiki euro 2500,
Nauli ni laki 5 kutoka mtwara mpaka Anjuani, then euro 500-1000 kutoka Anjuani mpaka mayotte
Una connection mkuu ya kwenda huko?,hii bei nilioweka ni mtu anapeleka watu ndio niliskia kwenye TV.
 
Hii kitu connection ndio inawacost ndugu zangu, muwe mnaenda front wenyewe,
 
Back
Top Bottom