thatone
JF-Expert Member
- Jun 30, 2019
- 365
- 196
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji119][emoji119]Aina vyeti iyo kazi na miti shamba kibao nikiwachanja nawapaka pili pili ikiwasha namwambia dawa imeingia kwenye damu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji119][emoji119]Aina vyeti iyo kazi na miti shamba kibao nikiwachanja nawapaka pili pili ikiwasha namwambia dawa imeingia kwenye damu.
Hahahahhahaaa..mkuu umenikimbusha jamaa yangu wakati anaanza kutafta maisha alijifanya mganga,,ye mzaramo,,sasa alienda kujifanya mganga dodoma,,kapiga kazi,,watu wanajiona wanapona,,dawa za uongo nakweli,,anaongea kizaramo harakaharaka watu wakajua kweli huyu mganga,sasa siku moja dada mwenye majini akaenda,,weee alipigwa mabanzi afu yule dada ndo yupo upande wa mlangoni,,uko nje watu wanajua mganga ndo anatoa majini,kumbe mwenzao anakula kibano,,afu akawa anabadilika macho ya kutisha ..wee ilibidi apige ukunga ndo watu kuja kumshka yule dada,,jamaa alivochomoka moja kwa moja hadi stendi akarud dar kusoma veta asa ivi fundi mzuri tu
[emoji16][emoji16][emoji16]....sasa siyo kazi rahisi kama unavodhani[emoji16][emoji16]