Fursa Singida kwa sisi Diaspora

Fursa Singida kwa sisi Diaspora

Muuza simu used

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2017
Posts
4,393
Reaction score
7,074
Wakuu hii ni kwa ushauri tu kwa mtu kama mimi na kwa niaba ya ma Diaspora wengine ambao kwa hiari yetu tumeamua kurudi nyumbani kwa sababu ka umri kameenda kimtindo halafu tunazubaa tu kwenye nchi za watu!mfano kwa singida biashara gani ambayo inaweza kuwa inamzunguko mzuri?vp pia kuhusu biashara ya maduka ya nguo? Mtaji ni 5mil pesa zingine tumekula ujana huku huku
 
Diaspora una 5mil....endelea kukaa huko huko.Maana huku unakuja kuanza upya kwa hela hiyo maana ake bongo huna nyumba,kiwanja...Njoo uwasaidie wenzio kupaka girisi kwenye vyuma
Mkuu nimeamua kurudi bila shuruti baada ya kukaa huku 12 years, pesa ilikuwepo ila imeisha kwenye bata sasa nimeamua kurudi sababu nimeshakuwa muhenga Sana!Nina cash 5mil ndio maana nataka nikimbilie singida maana najua Dar hata mwezi hautaisha nitakuwa nimefulia
 
Mkuu kabla hatujajitutumua kukushauri unaweza kusema ulikuwa diyasipora wa nchi gani?
 
Shukrani Sana!hii 5ml itanitosha kabisa mkuu?
Mfano mm naweza chukua milion moja nikawekeza kwenye kununua magunia ya alzet mwezi wa 5 wanauza mpaka 30000 alafu unayapiga store mwezi wa kumi unauza kwa 70mpaka 60 alafu hiyo nyingine unaanza na nguo za wadada na wamama dukan ukishauza alzet faida unaweka dukani mtaji unahamisha kwenye biashara ya mahindi ni mwendo wa nafaka tu lakin lazma ufanye research ya masoko kwanza
 
Wakuu hii ni kwa ushauri tu kwa mtu kama mimi na kwa niaba ya ma Diaspora wengine ambao kwa hiari yetu tumeamua kurudi nyumbani kwa sababu ka umri kameenda kimtindo halafu tunazubaa tu kwenye nchi za watu!mfano kwa singida biashara gani ambayo inaweza kuwa inamzunguko mzuri?vp pia kuhusu biashara ya maduka ya nguo? Mtaji ni 5mil pesa zingine tumekula ujana huku huku
mkuu kwa Singida biashara nzuri ni kuuza nafaka mfano mahindi, mchele, maharage....unajua singida ni kukame zao pekee wanalotegemea ni alizeti na karanga kidogo,,,,biashara ya nafaka inalipa nguo sikushauri sana Singida hawahusudu sana uvaaji
 
Mfano mm naweza chukua milion moja nikawekeza kwenye kununua magunia ya alzet mwezi wa 5 wanauza mpaka 30000 alafu unayapiga store mwezi wa kumi unauza kwa 70mpaka 60 alafu hiyo nyingine unaanza na nguo za wadada na wamama dukan ukishauza alzet faida unaweka dukani mtaji unahamisha kwenye biashara ya mahindi ni mwendo wa nafaka tu lakin lazma ufanye research ya masoko kwanza
Singida sio wavaaji nguo sana
 
Back
Top Bottom