Fursa Singida kwa sisi Diaspora

Fursa Singida kwa sisi Diaspora

Hata Le Mbebezi alikuja na pesa ya kununulia Laptop tu na kuanzisha blog, so hiyo 5m kwako bado ni nyingi sana. Lakini watu wa nje mna matatizo gani we ni mtu wa tatu (wawili ni ndugu zangu) unarudi na pesa ambayo hapa bongo unaweza ipata ndani ya miezi michache tu.
 
Mkuu biashara ya alizeti huku ukinunua mapema na kuja kuuza baada ya mwezi wa 12 utapiga pesa ila inahitaji mtaji mrefu kidogo ili upate faida nzuri. Mimi ushauri wangu njoo ufanye ufugaji wa kuku utapiga pesa maana soko huku ni la uhakika na hali ya hewa ni rafiki kwa kuku pia hakuna magonjwa ya ajabu ajabu. Karibu sana singida huku bata zipo Rode na Skyway so ukija na tabia yako ya kula bata ukafikia regency hotel haichukui wiki unakata ringi, ukija ww kama mtu wa gambe kula tu eagle za buku buku. Biashara ya nguo inalipa sana ila kupata frame sehem yenye biashara utatumia kama million mbl kasoro kulipia frame miez sita hapo bado hujaiboresha na kununua mzgo hivyo haitosh kwa hyo biashara.
Welcome back waukhaya
 
Wakuu hii ni kwa ushauri tu kwa mtu kama mimi na kwa niaba ya ma Diaspora wengine ambao kwa hiari yetu tumeamua kurudi nyumbani kwa sababu ka umri kameenda kimtindo halafu tunazubaa tu kwenye nchi za watu!mfano kwa singida biashara gani ambayo inaweza kuwa inamzunguko mzuri?vp pia kuhusu biashara ya maduka ya nguo? Mtaji ni 5mil pesa zingine tumekula ujana huku huku
Mkuu nakushauri njoo Bongo, panga chumba, nunua bodaboda piga kazi mwenyewe hela utaiona.
 
Hata Le Mbebezi alikuja na pesa ya kununulia Laptop tu na kuanzisha blog, so hiyo 5m kwako bado ni nyingi sana. Lakini watu wa nje mna matatizo gani we ni mtu wa tatu (wawili ni ndugu zangu) unarudi na pesa ambayo hapa bongo unaweza ipata ndani ya miezi michache tu.
Ukitoka bongo ukiwa na fantasy maisha mbele ni bwerere mshiko nje nje kama biko utaishia pabaya.

Toka bongo na notion ya kubadilisha mazingira ya utafutaji au na malengo ya kuishi nchi fulani..

Ila huyu jamaa naona mzinguaji ila atanisahihisha. amekaa South 10 years bila kutoka then uzi wa nyuma yake anakuambia anauza simu used yupo Msumbiji????
 
Kwa mtu aliekaa ughaibuni miaka 12 ni aibu kubwa kurudi na 5m. Unajifunika shuka qwakati kumekucha. pole sana.
anyway hiyo 5m kalime viazi vitam singida
Sijawahi kulima na sitakaa nilime mkuu!
 
Ukitoka bongo ukiwa na fantasy maisha mbele ni bwerere mshiko nje nje kama biko utaishia pabaya.

Toka bongo na notion ya kubadilisha mazingira ya utafutaji au na malengo ya kuishi nchi fulani..

Ila huyu jamaa naona mzinguaji ila atanisahihisha. amekaa South 10 years bila kutoka then uzi wa nyuma yake anakuambia anauza simu used yupo Msumbiji????
Nimeshangaa diaspora anajiita muuza simu used, sijui alikua anaziuzia huko mbele while wazungu wanacheza na brand new.
 
Nimeshangaa diaspora anajiita muuza simu used, sijui alikua anaziuzia huko mbele while wazungu wanacheza na brand new.
Labda ni jina tu...ila thread zake zinajikanganya.

Mtoa mada kwanini ulirudishwa Japan mkuu wangu tuambie tujielimishe.
 
Hata Le Mbebezi alikuja na pesa ya kununulia Laptop tu na kuanzisha blog, so hiyo 5m kwako bado ni nyingi sana. Lakini watu wa nje mna matatizo gani we ni mtu wa tatu (wawili ni ndugu zangu) unarudi na pesa ambayo hapa bongo unaweza ipata ndani ya miezi michache tu.
Totos ndio zilizotuponza mkuu
 
Labda ni jina tu...ila thread zake zinajikanganya.

Mtoa mada kwanini ulirudishwa Japan mkuu wangu tuambie tujielimishe.
Nilipata viza fresh lakini ilikuwa ya ujanja ujanja lakini nilivyokuja airport tukawekwa pembeni mm pamoja na raia wawili kutoka Bangladesh tukakaguliwa nadhani walihisi labda nimebeba madawa ya kulevya baada ya hapo nikaanza kuhojiwa sikuwa na sababu zilizowaridhisha kukaa Japan
 
Biashara inayolipa kama Una Mtaji nikujenja hoteli yakitalii Karibu na Ziwa Kindai,Maana Sirikali itakapohamia Dodoma Ziwa Kindai itakua mahali pakwenda kupunga upepo Wanene
 
Back
Top Bottom