Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,074
Mkuu nimeamua kurudi bila shuruti baada ya kukaa huku 12 years, pesa ilikuwepo ila imeisha kwenye bata sasa nimeamua kurudi sababu nimeshakuwa muhenga Sana!Nina cash 5mil ndio maana nataka nikimbilie singida maana najua Dar hata mwezi hautaisha nitakuwa nimefuliaDiaspora una 5mil....endelea kukaa huko huko.Maana huku unakuja kuanza upya kwa hela hiyo maana ake bongo huna nyumba,kiwanja...Njoo uwasaidie wenzio kupaka girisi kwenye vyuma
Hata huku vyuma vimekaza mkuuHuhuhuhuh..! Mkuu umekaa huko na kurudi na 2500 uds tuuh, kweli ilikuwa bora urudi home pole..
5mil sio haba mkuuHiyo ni hela zawadi kwa ndugu zako wa singida, kakaa kutafuta mtaji.
Mkuu kabla hatujajitutumua kukushauri unaweza kusema ulikuwa diyasipora wa nchi gani?Mkuu nimeamua kurudi bila shuruti baada ya kukaa huku 12 years, pesa ilikuwepo ila imeisha kwenye bata sasa nimeamua kurudi sababu nimeshakuwa muhenga Sana!Nina cash 5mil ndio maana nataka nikimbilie singida maana najua Dar hata mwezi hautaisha nitakuwa nimefulia
Portugal mkuuMkuu kabla hatujajitutumua kukushauri unaweza kusema ulikuwa diyasipora wa nchi gani?
Shukrani Sana!hii 5ml itanitosha kabisa mkuu?Karibu singida ukifanya biashara ya alzeti itapendeza zaid kuanzia mwezi wa 5 alafu mjini unafungua duka la nguo za kike na mikoba inalipa sana kwa maeneo ya singida
Basi wacha kesho nikiamka maana nina nitachapia kausingizi kananinyemelea...Portugal mkuu
Poa poaBasi wacha kesho nikiamka maana nina nitachapia kausingizi kananinyemelea...
Ila kwa portugal sawa.
Mfano mm naweza chukua milion moja nikawekeza kwenye kununua magunia ya alzet mwezi wa 5 wanauza mpaka 30000 alafu unayapiga store mwezi wa kumi unauza kwa 70mpaka 60 alafu hiyo nyingine unaanza na nguo za wadada na wamama dukan ukishauza alzet faida unaweka dukani mtaji unahamisha kwenye biashara ya mahindi ni mwendo wa nafaka tu lakin lazma ufanye research ya masoko kwanzaShukrani Sana!hii 5ml itanitosha kabisa mkuu?
mkuu kwa Singida biashara nzuri ni kuuza nafaka mfano mahindi, mchele, maharage....unajua singida ni kukame zao pekee wanalotegemea ni alizeti na karanga kidogo,,,,biashara ya nafaka inalipa nguo sikushauri sana Singida hawahusudu sana uvaajiWakuu hii ni kwa ushauri tu kwa mtu kama mimi na kwa niaba ya ma Diaspora wengine ambao kwa hiari yetu tumeamua kurudi nyumbani kwa sababu ka umri kameenda kimtindo halafu tunazubaa tu kwenye nchi za watu!mfano kwa singida biashara gani ambayo inaweza kuwa inamzunguko mzuri?vp pia kuhusu biashara ya maduka ya nguo? Mtaji ni 5mil pesa zingine tumekula ujana huku huku
Singida sio wavaaji nguo sanaMfano mm naweza chukua milion moja nikawekeza kwenye kununua magunia ya alzet mwezi wa 5 wanauza mpaka 30000 alafu unayapiga store mwezi wa kumi unauza kwa 70mpaka 60 alafu hiyo nyingine unaanza na nguo za wadada na wamama dukan ukishauza alzet faida unaweka dukani mtaji unahamisha kwenye biashara ya mahindi ni mwendo wa nafaka tu lakin lazma ufanye research ya masoko kwanza
Kwa mtu aliekaa ughaibuni miaka 12 ni aibu kubwa kurudi na 5m. Unajifunika shuka qwakati kumekucha. pole sana.5mil sio haba mkuu
mbona Le mutuz alikuja na dola 500 kutoka marekani na alikaa miaka 30 sasa hivi ni milionea? maisha hayana formulaKwa mtu aliekaa ughaibuni miaka 12 ni aibu kubwa kurudi na 5m. Unajifunika shuka qwakati kumekucha. pole sana.
anyway hiyo 5m kalime viazi vitam singida