Fursa Singida kwa sisi Diaspora

Hata Le Mbebezi alikuja na pesa ya kununulia Laptop tu na kuanzisha blog, so hiyo 5m kwako bado ni nyingi sana. Lakini watu wa nje mna matatizo gani we ni mtu wa tatu (wawili ni ndugu zangu) unarudi na pesa ambayo hapa bongo unaweza ipata ndani ya miezi michache tu.
 
 
Mkuu nakushauri njoo Bongo, panga chumba, nunua bodaboda piga kazi mwenyewe hela utaiona.
 
Ukitoka bongo ukiwa na fantasy maisha mbele ni bwerere mshiko nje nje kama biko utaishia pabaya.

Toka bongo na notion ya kubadilisha mazingira ya utafutaji au na malengo ya kuishi nchi fulani..

Ila huyu jamaa naona mzinguaji ila atanisahihisha. amekaa South 10 years bila kutoka then uzi wa nyuma yake anakuambia anauza simu used yupo Msumbiji????
 
Kwa mtu aliekaa ughaibuni miaka 12 ni aibu kubwa kurudi na 5m. Unajifunika shuka qwakati kumekucha. pole sana.
anyway hiyo 5m kalime viazi vitam singida
Sijawahi kulima na sitakaa nilime mkuu!
 
Nimeshangaa diaspora anajiita muuza simu used, sijui alikua anaziuzia huko mbele while wazungu wanacheza na brand new.
 
Nimeshangaa diaspora anajiita muuza simu used, sijui alikua anaziuzia huko mbele while wazungu wanacheza na brand new.
Labda ni jina tu...ila thread zake zinajikanganya.

Mtoa mada kwanini ulirudishwa Japan mkuu wangu tuambie tujielimishe.
 
Totos ndio zilizotuponza mkuu
 
Labda ni jina tu...ila thread zake zinajikanganya.

Mtoa mada kwanini ulirudishwa Japan mkuu wangu tuambie tujielimishe.
Nilipata viza fresh lakini ilikuwa ya ujanja ujanja lakini nilivyokuja airport tukawekwa pembeni mm pamoja na raia wawili kutoka Bangladesh tukakaguliwa nadhani walihisi labda nimebeba madawa ya kulevya baada ya hapo nikaanza kuhojiwa sikuwa na sababu zilizowaridhisha kukaa Japan
 
Biashara inayolipa kama Una Mtaji nikujenja hoteli yakitalii Karibu na Ziwa Kindai,Maana Sirikali itakapohamia Dodoma Ziwa Kindai itakua mahali pakwenda kupunga upepo Wanene
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…