Fursa Singida kwa sisi Diaspora

Fursa Singida kwa sisi Diaspora

Km tanzania ingekuwa binadam singida itakuwa sijuj kiungo gani??!!!maana pamekaa kichovu sana
Tatizo lenu mmeshakuwa addicted na vinyesi vya dar miji mizuri na misafi mnakuwa na aleji nayo. bila kuvuta harufu ya vinyesi hamjisikii amani kabisa
 
Nahitaji kujua ni sehemu gani wanalima vitunguu kwa umwagiliaji nikatafute eneo nilime.. Asanteni sana
Umeshachelewa mama saizi mvua zinanyeesha, ila singida zaidi vitunguu vya kwa mwagilia ni kwa ajili ya kupata mbegu ni mara chache sna kulima kwa ajili ya kuvuna vitunguu, nenda maeneo ya mpambaa na ilongero watakuelekeza sehemu za kulima ila vitunguu vyenyewe vinalimwa zaidi Dominiki na Hirbadoi na sio vya kumwagia.
 
We jamaa mzinguaji kinoma....Mara uko South, mara now Portugal

Uko hapa hapa bongo unazingua aaaaagh!
 
Umeshachelewa mama saizi mvua zinanyeesha, ila singida zaidi vitunguu vya kwa mwagilia ni kwa ajili ya kupata mbegu ni mara chache sna kulima kwa ajili ya kuvuna vitunguu, nenda maeneo ya mpambaa na ilongero watakuelekeza sehemu za kulima ila vitunguu vyenyewe vinalimwa zaidi Dominiki na Hirbadoi na sio vya kumwagia.
Ooh Asante sana mkuu... Najua nimechelewa ndio maana nauliza kama kuna sehemu wanamwagilia wakati wa kiangazi.

Vipi kuhusu hivyo vya mbegu, vinalipa? Mfano nikiwa na eka mbili naweza kupata mbegu kiasi gani, soko lake lipoje na ni bei gani?
 
aiseee naona kuna mtu katajwa jina lake hapa.... Demiss
 
Back
Top Bottom