Ni center imechangamka na si mbali na town, biashara ya mazao, kuku, mbuzi ipo poa tu kwa sasaNataka kujua tu kuhusu hali halisi ya mazingira ya biashara kwa pale
OK!shukrani,wewe upo huko?Ni center imechangamka na si mbali na town, biashara ya mazao, kuku, mbuzi ipo poa tu kwa sasa
Huwa naenda mara kwa maraOK!shukrani,wewe upo huko?
Poa poaNitafute kwa hapa 0763885349 tsap Nina mengi ya kukueleza mkuu
Ok sawaHuwa naenda mara kwa mara
Mkuu unalima nini?Singida nakujua kuliko unavyofikiria na mpaka muda huu niko Singida mkuu wangu leo nimetoka Kinampanda nina shamba huko nalima sasa sijui utanidanganya na nini.....
Iguguno ipo barabaran kabisa ,road to mwanzaNdani zaidi mkuu[emoji2]!kweli nitapata hata internet nipate kuleta feedback hapa Jf?
Nadhani Iguguno itapendeza zaidi[emoji2]Iguguno ipo barabaran kabisa ,road to mwanza
Njoo ulime pamba,Nadhani Iguguno itapendeza zaidi[emoji2]
Mkuu kilimo sitaki kukusikia maishaNjoo ulime pamba,
Tatizo lenu mmeshakuwa addicted na vinyesi vya dar miji mizuri na misafi mnakuwa na aleji nayo. bila kuvuta harufu ya vinyesi hamjisikii amani kabisaKm tanzania ingekuwa binadam singida itakuwa sijuj kiungo gani??!!!maana pamekaa kichovu sana
Umeshachelewa mama saizi mvua zinanyeesha, ila singida zaidi vitunguu vya kwa mwagilia ni kwa ajili ya kupata mbegu ni mara chache sna kulima kwa ajili ya kuvuna vitunguu, nenda maeneo ya mpambaa na ilongero watakuelekeza sehemu za kulima ila vitunguu vyenyewe vinalimwa zaidi Dominiki na Hirbadoi na sio vya kumwagia.Nahitaji kujua ni sehemu gani wanalima vitunguu kwa umwagiliaji nikatafute eneo nilime.. Asanteni sana
Ooh Asante sana mkuu... Najua nimechelewa ndio maana nauliza kama kuna sehemu wanamwagilia wakati wa kiangazi.Umeshachelewa mama saizi mvua zinanyeesha, ila singida zaidi vitunguu vya kwa mwagilia ni kwa ajili ya kupata mbegu ni mara chache sna kulima kwa ajili ya kuvuna vitunguu, nenda maeneo ya mpambaa na ilongero watakuelekeza sehemu za kulima ila vitunguu vyenyewe vinalimwa zaidi Dominiki na Hirbadoi na sio vya kumwagia.
Mkalama, Nguguti na na Iramba Vitunguu vinakubali sanNahitaji kujua ni sehemu gani wanalima vitunguu kwa umwagiliaji nikatafute eneo nilime.. Asanteni sana
Atakua yupo tu kiomboi huyuWe jamaa mzinguaji kinoma....Mara uko South, mara now Portugal
Uko hapa hapa bongo unazingua aaaaagh!
Haaahaaaaiseee naona kuna mtu katajwa jina lake hapa.... Demiss
Nchi zote hizo nimeishi sijui kama una swali jingineWe jamaa mzinguaji kinoma....Mara uko South, mara now Portugal
Uko hapa hapa bongo unazingua aaaaagh!