asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,035
kibongo bongo ni kujilipua tu , huku ukiendelea kutafuta kibali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kibongo bongo ni kujilipua tu , huku ukiendelea kutafuta kibali
Ericus Kimasha
Very interseting story and indeed an enterprising one
nadhani kama alivyotuambia Malila lazima watokee watu atakao sucrfice ile hawa wafalme kwenye viti vyao katika offisi zinazotegemea revenues kutoka kwa walipakodi washituke na ni lazima washinikizwe in a natural cycle ili weweze kukubali refoms .... Ninasikia kilimo kwanza kama nyimbo za koffie olomide kwani sioni sera yake inasaidije mfugaji pia nilimsikia mkuu wetu akipngelea benki ya wakulima je mipaka yake ikoje ... Nani atawasaidia wafugaji
Mimi ninaamini wakulima na wafugaji ni kitu kimoja na wanategemeana kama ecosystem inavyo huy okea .... Mimea inatoa oxygen na wanyama wanaitumia vilevile wanyama wanatoa carbondioxide na mimea inatumia
Malila njoo huku
Nipo mkuu,
Lazima nijilipue,maadamu najua mahali pa kuchukua vifaranga vya kware, basi, ni lazima nifuge tu. Kilimo kwanza ni ngonjera kama zilivyo ngonjera za Tambalizeni ( Rip) kwenye mikutano ya siasa. Benki ya wakulima wakati hawana colateral yo yote ni upuuzi,wakulima wangepewa hati za ardhi zao kwanza, kisha sera za kilimo kwanza zije. Hivi mkulima wa Tunduru mpaka aje apate trector ni lini wakati korosho zake anakopwa?
Lile lililo ndani ya uwezo wetu tulifanye, mojawapo ni hili, tufuge kware, kiti, simbilisi,sungura,nyuki,na kulima matunda. Wenye nguvu kubwa wapande huko huko juu waliko.
Ni kweli, uko sahihi. Tombo ni jina la Waswahili wa Sabahionline.com ambayo makala ya kwanza kwenye mjadala huu ilidurufiwa kutoka huko. Hapa kwetu, wengi wanawafahamu hawa ndege kwa jina la Kware! Ninaafiki kuliendeleza jina hilo.Ericus Kimasha
hili jina la Tombo lina-originate kutoka wapi?, kwa maoni yangu quails hujulikana kwa jina la Kware hapa kwetu , ningeshauri tutumie jina hili (Kware) la asili ya hapa kwetu ili iwe rahisi kueleweka kwa jamii
i stand to be corrected
Ni kweli, uko sahihi. Tombo ni jina la Waswahili wa Sabahionline.com ambayo makala ya kwanza kwenye mjadala huu ilidurufiwa kutoka huko. Hapa kwetu, wengi wanawafahamu hawa ndege kwa jina la Kware! Ninaafiki kuliendeleza jina hilo.
Je kuna mtu anaweza kunisaidia na vipimo vya banda la kwale 50