The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Nimeweka sawa mzeeWe link ama tovuti rasmi ya kuombea
Sema ni jambo gumu sana kumshauri KIAZI anayekaribia KUTAPELIWA.Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, kwa kushirikiana na Mawakala mbalimbali wakiwemo kampuni tanzu ya Mkapa Foundation (Imara Horizon), Connect General Supplies Co. Ltd, Sassy Solutions Co. Ltd, pamoja na Larali Global Solutions, inawatangazia Watanzania wenye sifa kutuma maombi ya ajira kwa nafasi 800 za udereva.
Nafasi hizi zimetangazwa na kampuni ya usafirishaji ya MOWASALAT kutoka nchini Qatar, ikiwa ni sehemu ya juhudi za serikali kupanua fursa za ajira kwa vijana wa Kitanzania nje ya nchi. Waombaji wanahimizwa kuwasilisha maombi yao kwa kufuata taratibu rasmi, huku wakizingatia vigezo vilivyowekwa ili kufaidika na ajira hizi za kimataifa.
View attachment 3334356View attachment 3334357
Tunatia aibu sana.Huko Qatar zipo Volvo 2024 na 2025 badala ya kuwauliza walioferi walikuta lugha gani kwenye panel ya hizo Volvo ninyi mnataka kuongeza idadi ya watu kurudishwa tena wakati hizo gari zimejaa Borgsburg,Johannesburg agizeni moja iwe mnafundishana kabla hamjatia aibu kwa mara ingine tena..
Hizo Volvo FH Truck zina Euro 6 technology kuendesha mpaka ufundishwe ile panel yake.
Hii ndo ajabu tena, 700 wamefeli wamerudishwa, mnapeleka 800 wenye maarifa yaleyale ya waliofeli.Huko Qatar zipo Volvo 2024 na 2025 badala ya kuwauliza walioferi walikuta lugha gani kwenye panel ya hizo Volvo ninyi mnataka kuongeza idadi ya watu kurudishwa tena wakati hizo gari zimejaa Borgsburg,Johannesburg agizeni moja iwe mnafundishana kabla hamjatia aibu kwa mara ingine tena..
Hizo Volvo FH Truck zina Euro 6 technology kuendesha mpaka ufundishwe ile panel yake.
Watu wakajifue basics zake mjini YouTube sasa.Huko Qatar zipo Volvo 2024 na 2025 badala ya kuwauliza walioferi walikuta lugha gani kwenye panel ya hizo Volvo ninyi mnataka kuongeza idadi ya watu kurudishwa tena wakati hizo gari zimejaa Borgsburg,Johannesburg agizeni moja iwe mnafundishana kabla hamjatia aibu kwa mara ingine tena..
Hizo Volvo FH Truck zina Euro 6 technology kuendesha mpaka ufundishwe ile panel yake.
Zipo mjini hapo wamuombe alie nayo wakalie gari sio you tube watarudi tena..Watu wakajifue basics zake mjini YouTube sasa.